Ndo maana Zanzibar hatuwezi tukaiacha ikapumua hata kwa dakika 1.
Yapo majitu yanaitolea macho, bahati mbaya sana kuna vibaraka vyao pale vinavyoamini they belong to Oman and not Africa! Wanaamini mapinduzi ni kunyang'anywa nchi yao, wanajipanga kuja kuikomboa wawatoe wazanzibar halisi ili wakaikalie nchi wao..
Ni kama vile waarabu watake kurudi Bagamoyo wakawatoe waswahili kwenye nchi yao kisa waliwahi kukaa pale na kuunda ule mji...
Ile ni nchi ya watu, Wao walikuja wakaondoka, waishilie mbali.
Wanaodhan ipo siku muungano utavunjika ili warudishe wale jamaa wanapoteza muda, Muungano unaelekea kuwa wa serikali moja