Watanganyika mnatuharibia Zanzibar

yaani mtoa mada umelegea kweli nahisi hata kashata huwezi kuvunja
 
hamna mzanzibar anaekuja dar es salaam ukamkuta anazagaa tu njiani

Njoo kunduchi mtongani na boko ujionee kwani ndio wachuuzi wa samaki na wameolewa na wanawake wa kitanganyika.
 
acha uongo hakuna hata mzanzibari mmoja anaefanya kazi bar. kwani uko dar es salaam sisi hatujafika, wazanzibari wanamiliki mikahawa, maduka na mashamba ndani ya tanganyika na sio kufanya kazi bar
Kiongozi,kauli zako zitatufanya tuseme mengi,ambayo yatawaumiza nduguzo.Tumekaa pemba na unguja,tumeona na kufanya mengi huko.Nakushauri achana na uzi huu kiongozi.
 
Kiongozi,kauli zako zitatufanya tuseme mengi,ambayo yatawaumiza nduguzo.Tumekaa pemba na unguja,tumeona na kufanya mengi huko.Nakushauri achana na uzi huu kiongozi.
hamna mumezoea kuwasingizia wazanzibari kuwatia kwenye maovu, na wao wazanzibari wenyewe wanajua ndio maana wamewapuuzia, hivi huku zanzibar hakuna hoteli, maeneo ya utalii yote huku wahudumu ni wabongo sasa unaponiambia wanuza bar tena tanganyika lazima nikushangae, maana maisha zanzibar ni rahisi kuliko tanganyika
 
Njoo kunduchi mtongani na boko ujionee kwani ndio wachuuzi wa samaki na wameolewa na wanawake wa kitanganyika.
ahhhh na wewe huna jipya, sasa wavuvi kuja kuvua samaki kuna ubaya gani na nyinyi hamjui kuvua
 
nyinyi watu kutoka moshi ndio wizi wakubwa nyie kwani hatuwahoji ao wenzako huku zanzibar

Hivi ulikuwa unamaanisha Zanzibar au Iringa? Napata shaka nikiiangalia Avatar yako, Mzanzibari anakula mbwa?
 

Hiyo simu aliyojupigia,nayo aliitoa wapi??
 
Halafu mtoa mada uwe na heshima na Tanganyika,Tanessco inawabeba sana hamuwezi kuwalipa
 

!
!
anko mbona unampa za uso nyingi? imetosha mkurugenzi anza kumpa na da tumbo.
 


Ushauri wangu, ingawa tumeungana lakini serekali iwafukuze watanganyika wote wasio kazi sisi tumeshawachoka kutufanyia fujo hapa Zanzibar.

Tokeni nyie huku bara mrudi kwenu mafirauni wakubwa nyie
 
ahh wewe .. mankachara utakuwa umechukuliwa dem wako nini na jamaa kutoka bara huku naona unalalamika sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Pia waambie serikali yako wawaandalie wazanzibar wenzio waliojazana huku Tanganyika na vibiashara vyao visivyokuwa na kichwa wala miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…