Watambue wezi wa Malima

Changudoa aliyetoka Club na Mh. Malima na kuingia nae chumbani, muhudumu wa Nashera Hotel alitueleza kwamba alikuwa ni mweupe na mrefu, hayo mengine yote ya kumsafisha Mh. Malima ni kazi waliyopewa Police Morogoro. Anaogopa nini kusema ukweli kwani yeye ni mlokole wa kiislam, isitoshe anaruhusiwa kuwa na wake mpaka wanne kwa hiyo angeweza kusema ameibiwa na mchumba wake ambaye hakujua kama ana tabia hiyo mbaya. Tungempa pole na kumshauri awe makini anapotafuta mchumba, wengine ni majambazi sugu.
 
Totaly Fabrication. shepu hizi haziwezi kwenda kwenye hteli kama hiyo. Wakuu imepikwa kumsafisha AM na CDs
 
Kamanda wa polisi Morogoro and Adam Malima, You can fool some people sometimes, but you couldn't fool all the people all the time!
 
Polisi wa bongo bana wao hapa watasema wamemaliza zoezi la kamata mwezi men hata kama wahusika sio hao.
 
huu utawala ni wa kidikteta..watu wamekamatwa mtaani ili kufunika ufuska wa huyu mshe*z*,..ndio maana nchi imewashinda..
 
shenzi kabisa ...wanamdanganya nai?hilo goma ndo malima alilichukua kahumba...
 
masikini Watanzania wasio na hatia wakiwa wamefungwa pingu!

Lakini Polisi wajue kuwa katika vitu vibaya kabisa ni pale wananchi wanapopoteza imani na jeshi hilo. Angalia siraha, jeshi na zana alizokuwa nazo Ghadafi lakini ukosefu wa busara unafanya nchi isambaratike. Wenye akili hawatawalaumu waliompindua Ghadafi bali watamlaumu Ghadafi kwa kupelekea hali hiyo.

Polisi wetu jifunzeni kabla ya kuingizwa katika michezo ya kisiasa na watu ambao wana tamaa zao za miili pamoja na familoia zao wala sio tamaa ya kuliendeleza taifa!

we umelewa au mzima?(watu wasio na atia wakiwa wamefungwa pingu)awo ni wezi na kizibiti wamekutwa nacho
 
hivi hii hoteli imeshawahi kupata episodes kama za Adam mara ngapi?

hawa jamaa ni wengi mno halafu kale kadirisha kalikwanyuliwa sehemu ndogo tu??

hawa jamaa walijuaje kile ni chumba cha malima???

kwa hiyo huyu mama/dada alitumika kama chambo kwa malima???

wezi wenye utaalamu wa kuiba hoteli kubwa namna hii wakamatwe kirahisi hivi????

yani pamoja na kuiba mahela yote hayo waliendelea kubaki moro?????

mwenye maswali aongezee!
 
Back
Top Bottom