Watambue wezi wa Malima

Watambue wezi wa Malima

CAMERA Hotelini hapo zipo tele!!!!!!!!!!! sasa sizianikwe tujue mheshimiwa aliingia na nani Hotelini??? ili tubaini uongo wa polisi!!!!
 
Kwa hiyo waziri akiibiwa wezi lazima wapatikane,tukiibiwa sisi sasa, wezi hawapatikani milele.
 
toto ya kiruguru ilimdatisha malima afu hakumlipa. cha moto akakiona
 
Back
Top Bottom