hahahaaaaa tusiemo mwakani TUKAZANE
Haahaaaaaaaaa! The UNPREDICTABLE ME!
Napita tu leo, nitarudi.
Wa kukazana sio wewe tu!
Akina sie ndiyo twatakiwa tukakazane kwa speed ya Airforce1!
Huoni hapo tumewekwa kwenye washusha Pumba! So far naenda ongeza mkazano , mwakani niwe kwenye washusha Nafaka.
Siasani yuko FaizaFoxy haeleweki hata anachokipenda, namkumbuka sana
na uzi wake wa Nyerere hakuifanyia tz chochote (samahani kama nimekosea kidogo topic)
Niliusoma Sunday kabla sijaenda church, nililia sana nilipoona FaizaFoxy amekomaa
kwamba hajaona alichokifanya Nyerere (R.I.P); was Ritz ndo alikuja akaupooza
ule uzi, but siwezi kumsahau FaizaFoxy
Watu na watu wao...
Napita tu leo, nitarudi.
Yaani ulilia kwa kuwa Nyerere kapondwa ama kwa kuwa FF alikomalia kuwa Nyerere hakufanya kitu?
All in all ni kitu hiko hiko.
baba shkamoo!!!!!
Marhabaaa...hujambo binti yangu!!
sijambo daddy, nimekukumbuka tu daddy wangu