ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Upo lakini..nimekumisss!!Watu na watu wao...
N:B. Mods pls naomba msiondoe hii thread hapa pls pls
1. Katika kuelimisha na kuonya na kurekebisha jamii iende katika mstari ulionyooka wafuatao
walijitahidi kutoa uzi hapa mjengoni hususani naangalia pande zote humu jf
a) MziziMkavu, Mtambuzi, EMT, ladyfurahia, AshaDii, Preta, Tuko, The Boss Nicas Mtei
Mi napenda thread unazoanzisha Mentor..Your stories are so entertaining,na zinafundisha na kuelimisha sanaa tena sanaaa..You deserve to be on that list...ukichapisha kitabu unipostie uniwekee na signature yako!!!!:smile-big:Ahaha una nini na moderator kila siku una hofu ya kufutiwa thread??!
Upo lakini..nimekumisss!!