bora umeliona hilo aunt
watoto tumejaaliwa sauti ya
kumtoa nyoka pangoni,tukiimba
sauti ka vinanda,kweli na tupewe
nafasi ya vocal leader kabisaaaa!!halafu Jiwe Linaloishi
safari zako hua haziishi swahiba?!!
Tukiimba nitakaa na wewe! huwa nna tabia ya kubadilisha badilisha sauti...
bora umeliona hilo aunt
watoto tumejaaliwa sauti ya
kumtoa nyoka pangoni,tukiimba
sauti ka vinanda,kweli na tupewe
nafasi ya vocal leader kabisaaaa!!halafu Jiwe Linaloishi
safari zako hua haziishi swahiba?!!
aahh bado safari zipo sana hasa za ukanda huo... najiandaa kuwekeza huko na kujenga small house
hahahaaa!!hiyo ndio gia mpya
umekuja nayo eeee?!!ok tutakaa pamoja usijali!!
ukikaa karibu na mimi juanikikaa mwenyewe lazma niharibu flow ya masongi, asa bora uchague..wewe au Heaven on earth manake nasikia nyie ndo lead singers
ladyfurahia...nipo mwalimu, sitaki mazoezi ya viungo siyataki. muulize Heaven on earth & Lady doctor watakuambia namaanisha nini
Nitajitahidi kufika siku hiyo ili kumtunza atakayenikosha.
aah ntake radhi huwezi kuratibu wewe na kuwa chief Judge wewe kanuni hazisemi hivyooo
Heaven on earth na Passion Lady hawa mi nawakubali sana kama huyo PL nishawahi kumwona kipaform wallah siku hiyo wakware watatangaza nia... time will tell
bora umeliona hilo aunt
watoto tumejaaliwa sauti ya
kumtoa nyoka pangoni,tukiimba
sauti ka vinanda,kweli na tupewe
nafasi ya vocal leader kabisaaaa!!halafu Jiwe Linaloishi
safari zako hua haziishi swahiba?!!
kumbe unaunga mkono kauli ya bwana asali pinda tupigwe....?
hahahaaa!!hiyo ndio gia mpya
umekuja nayo eeee?!!ok tutakaa pamoja usijali!!
nikikaa mwenyewe lazma niharibu flow ya masongi, asa bora uchague..wewe au Heaven on earth manake nasikia nyie ndo lead singers
Am singer so can i how get into it?