Watambue madalali wa shetani

Umekua ennhe
 
Nimeokoka halafu bado naendelea na uchawi [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 

Yesu aliwalisha watu elfu tano wakala wakasaza .
Nabii Au mtume wa uongo analishwa Na watu elfu tano.
 
Ila kama imekuja mahala ambapo sipo. Mods mmelala??
 
Munguu atujaarie roho wa utambuzi na ufahamu...tuongeze juhudi kulisoma neno la Mungu
 
Umemsahau Malisa na mkewe, na yule Mchungaji mbunge Viti Maalumu,Kakobe, na yuko mmoja hivi anakanisa pale tabata chama MZEE fulani hivi ana mvimvi. Yote haya majizi tu
Inaonyesha ni kwa kiwango gani humjui mtumishi wa Mungu Kakobe. Ndiyo maana namuunga mkono mtoa post kwamba SIYO WOTE. Wewe unakurupuka. Onyesha utajiri wa Kakobe. Acha chuki binafsi. No research, no right to speak.
 
Hao jamaa wapo wengi na ni wasanii kupitiliza, ila wanasaidia watu wengi sana pia japo bila kukusudia. Wengi wa wafuasi wanategemea huduma zao kama therapy sessions. Wapo ambao hujisikia faraja tu kwa kukutumia zile jumbe zinazozunguka kwenye mitandao ziki-demand uzi-forward kwa idadi kadhaa ya watu ili kupokea baraka and what not, so unaweza kupata picha uwepo wa hao jamaa una maana gani kwao.
 
Zote namba hatari

Msimsahau peter nyaga wa rgc miracle tabata katoka kwao kenya kaona tz ndio kuna wajingawajinga wa kumwaga

Afadhali ya Yule Mama, watoto wa kitanzania waNafaidi Matunda yake kupitia elimu japo ni watoto wa matajiri tu
 
Inaonyesha ni kwa kiwango gani humjui mtumishi wa Mungu Kakobe. Ndiyo maana namuunga mkono mtoa post kwamba SIYO WOTE. Wewe unakurupuka. Onyesha utajiri wa Kakobe. Acha chuki binafsi. No research, no right to speak.
Namfahamu vizuri sana kwahiyo usibishe toka anaanzisha kanisa mpaka hapo alipo. Naongea kile ninachokifahamu. Hata hivyo sidhani kama ni kipindi cha mabishano. Rafiki zangu ni wahanga wa Kakobe wapo waliacha kazi na kuuza vitu kwa kile kinachoitwa kazi ya uinjilishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…