Watambue madalali wa shetani

Tusiwahukumu kwa matendo yao na umiriki wao wa mapambo ya Dunia, vyote tutaviacha hapahapa.
.
Kila mmoja apambane kuurithi ufalme wa Mbinguni.

Mkuu punguza mihemko na elewa nini mleta mada amezungumza, Dini sio vita
 
kufufua?kweli huyu taahira na muhanga
 
Na wanaendelea kuzaliwa wengine. Mwingine ni Mchungaji cum Comedian (Mβˆ†$βˆ†Ο€?βˆ† MΒ’βˆ†Ο€dβˆ†m|xβˆ†j|)
[emoji848][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23]kifupi chake anaitwa nani
 
Yaani kuna huyu jamaa anatembea semi zimebeba chumvi, maji na sikari ,anadai ameviombea na kwamba ukitumia unapona. Makao yake hapo Tanga. Ukitaka kumuona kwa issue ya kiafya lakimbili na nusu(250,000) Kibiashara laki tano(500,000)
Kuna sehemu wanamsubiri na mapanga
 
Mhhh [emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
 
hahahaha
 
Huenda hata hizi dini zilizoletwa na wamisionari ni wakala wa shetani . Mwafrika baki na dini za mababu zetu ndizo imani ya kweli
 
Huenda hata hizi dini zilizoletwa na wamisionari ni wakala wa shetani . Mwafrika baki na dini za mababu zetu ndizo imani ya kweli
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
HUNA HAJA YA KUOMBA RADHI KWA SABABU YA UKWELI...
 
WAJINGA NDIO WALIWAO...
 
MADA za Mshana bwana ni SHIDA πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hapo wewe upo undi lipi😎😎😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…