Zote namba hatariGeor Davie ni Nabii wa uongo,Muhuni wa wanawake na Tapeli
Mwamposa ni nabii wa uongo na Tapeli
Lusekelo ni mhuni, chapombe na mpenda pesa
Gwajima ni mpenda pesa, Mwanasiasa na Msanii ila mwenye ujasiri wa kuwatetea watanzania.
SAFINA RADIO ina watumishi wapenda pesa wasio na huruma kwa wamama masikini wanaochukua pesa zao. wa kwanza ni mkurugenzi wao DANIEL LEMA.
Akina manyau nyau na Sheikh sharrif majini ni wasanii wenye majini na ujinga kichwani.
Wengi wao wanarushwa na Channel 10.
Ashakhum si matusi
Tutawatambuaje hali ya kuwa wanatenda miujiza ya kuponya na kufufua kama manabii walio tangulia?
Kuhusu utajiri wao ni neema zitokanazo na kulishwa shambani mwa Bwana.
Waumini tumeaswa kwenye maandiko matakatifu tuwalishe watumishi wa Mungu.
Hata wateule wa zamani kina Daudi na Suleimani walikuwa matajiri wakubwa kupitia ukulima, ufugaji na uhunzi wa zana mbalimbali.
Mkuu mshana jr unataka kutuaminisha ya kwamba dhana ya uwepo wa dini ni utapeli uliotukuka?
Je, hujawahi kushuhudia matendo makuu ya Mungu ktk kuishi kwako hapa Duniani?
Tusiwahukumu kwa matendo yao na umiriki wao wa mapambo ya Dunia, vyote tutaviacha hapahapa.
Kwa Mungu kila goti litapigwa.
Kila mmoja apambane kuurithi ufalme wa Mbinguni.
Kisima kuna neno moja tu nimeandika ungelizingatia ungekuja na reply tofauti na hii... Neno hilo ni SIO WOTE!Tutawatambuaje hali ya kuwa wanatenda miujiza ya kuponya na kufufua kama manabii walio tangulia?
Kuhusu utajiri wao ni neema zitokanazo na kulishwa shambani mwa Bwana.
Waumini tumeaswa kwenye maandiko matakatifu tuwalishe watumishi wa Mungu.
Hata wateule wa zamani kina Daudi na Suleimani walikuwa matajiri wakubwa kupitia ukulima, ufugaji na uhunzi wa zana mbalimbali.
Mkuu mshana jr unataka kutuaminisha ya kwamba dhana ya uwepo wa dini ni utapeli uliotukuka?
Je, hujawahi kushuhudia matendo makuu ya Mungu ktk kuishi kwako hapa Duniani?
Tusiwahukumu kwa matendo yao na umiriki wao wa mapambo ya Dunia, vyote tutaviacha hapahapa.
Kwa Mungu kila goti litapigwa.
Kila mmoja apambane kuurithi ufalme wa Mbinguni.
Rudia kusoma mstari mmoja mmoja, maana naona hujaelewa kilichoandikwaTutawatambuaje hali ya kuwa wanatenda miujiza ya kuponya na kufufua kama manabii walio tangulia?
Kuhusu utajiri wao ni neema zitokanazo na kulishwa shambani mwa Bwana.
Waumini tumeaswa kwenye maandiko matakatifu tuwalishe watumishi wa Mungu.
Hata wateule wa zamani kina Daudi na Suleimani walikuwa matajiri wakubwa kupitia ukulima, ufugaji na uhunzi wa zana mbalimbali.
Mkuu mshana jr unataka kutuaminisha ya kwamba dhana ya uwepo wa dini ni utapeli uliotukuka?
Je, hujawahi kushuhudia matendo makuu ya Mungu ktk kuishi kwako hapa Duniani?
Tusiwahukumu kwa matendo yao na umiriki wao wa mapambo ya Dunia, vyote tutaviacha hapahapa.
Kwa Mungu kila goti litapigwa.
Kila mmoja apambane kuurithi ufalme wa Mbinguni.
Umemsahau Malisa na mkewe, na yule Mchungaji mbunge Viti Maalumu,Kakobe, na yuko mmoja hivi anakanisa pale tabata chama MZEE fulani hivi ana mvimvi. Yote haya majizi tuZote namba hatari