Watambue madalali wa shetani

Watambue madalali wa shetani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,704
Reaction score
830,704
Hawa si wengine bali ni mitume na manabii wa uongo (sio wote, namaanisha mitume na manabii wa uongo)
Utawambuaje?
Hawatoi bali wanapokea
Hawafuati bali wanafuatwa
Hawachangi bali wanachangiwa
Hawalishi bali wanalishwa
Hawahudumii bali wanahufumiwa
Kwao kila kitu ni fedha
Mahubiri yao ni utajiri na kutenda miujiza... Wanashindana kwa vitu vya kidunia.. Utajiri, vyombo vya usafiri, (magari boat, meli ndege nk) mavazi ya bei ghali, majumba ya gharama kubwa nknk... Ni watu wasiopitwa na fasheni yoyote
Ni wachoyo na ni wa binafsi wamepiliza! Pesa zao zinazotokana na kuwakamua waumini maskini na wenye uhitaji hawazitumii kwa manufaa ya jamii bali wao wenyewe na watu wao wa karibu
Pamoja na mabilioni wanayomiliki daima utawakuta mitandaoni wakishindana kupost vitu wanavyomiliki vya bei ghali...
Wakiamua kuwekeza pesa zao hizo ni kwenye biashara na kamwe sio kwenye huduma za kijamii kwa wasiojiweza kama lishe elimu afya na vituo vya misaada kwa walemavu yatima na yeyote mwenye uhitaji wowote .. Haya sio yao haya hayawahusu. ..
Watu wa kaliba hii wanaojipenda kujikweza na kupenda kutukuzwa, wapenda Mali na ibada za karamu zilizojaa ukakasi mwingi ni makuwadi wa kuzimu na madalali wa shetani

NB: Niombe radhi kwa wale watakwaza na hii mada
 
Jiwe kizani.

upload_2017-9-30_5-44-1.png
 
Geor Davie ni Nabii wa uongo,Muhuni wa wanawake na Tapeli

Mwamposa ni nabii wa uongo na Tapeli

Lusekelo ni mhuni, chapombe na mpenda pesa

Gwajima ni mpenda pesa, Mwanasiasa na Msanii ila mwenye ujasiri wa kuwatetea watanzania.

SAFINA RADIO ina watumishi wapenda pesa wasio na huruma kwa wamama masikini wanaochukua pesa zao. wa kwanza ni mkurugenzi wao DANIEL LEMA.

Akina manyau nyau na Sheikh sharrif majini ni wasanii wenye majini na ujinga kichwani.

Wengi wao wanarushwa na Channel 10.

Ashakhum si matusi
 
Zote namba hatari
 
Tutawatambuaje hali ya kuwa wanatenda miujiza ya kuponya na kufufua kama manabii walio tangulia?

Kuhusu utajiri wao ni neema zitokanazo na kulishwa shambani mwa Bwana.
Waumini tumeaswa kwenye maandiko matakatifu tuwalishe watumishi wa Mungu.

Hata wateule wa zamani kina Daudi na Suleimani walikuwa matajiri wakubwa kupitia ukulima, ufugaji na uhunzi wa zana mbalimbali.

Mkuu mshana jr unataka kutuaminisha ya kwamba dhana ya uwepo wa dini ni utapeli uliotukuka?
Je, hujawahi kushuhudia matendo makuu ya Mungu ktk kuishi kwako hapa Duniani?

Tusiwahukumu kwa matendo yao na umiriki wao wa mapambo ya Dunia, vyote tutaviacha hapahapa.

Kwa Mungu kila goti litapigwa.
Kila mmoja apambane kuurithi ufalme wa Mbinguni.
 
Endelea kuwachangia na kujipa moyo

Wenzako wanatanua tuu!
 
Kisima kuna neno moja tu nimeandika ungelizingatia ungekuja na reply tofauti na hii... Neno hilo ni SIO WOTE!
kumiliki mali sio tatizo, tatizo ni matumizi... Huwezi kumiliki mabilioni na kulala kwenye nyumba ya gharama mno huku nyumba ya Mungu unayotumia kupata utajiri wako haina tofauti na pagale
 
Tutawatambuaje hali ya kuwa wanatenda miujiza ya kuponya na kufufua kama manabii walio tangulia?

Kuhusu utajiri wao ni neema zitokanazo na kulishwa shambani mwa Bwana.
Waumini tumeaswa kwenye maandiko matakatifu tuwalishe watumishi wa Mungu.

Hata wateule wa zamani kina Daudi na Suleimani walikuwa matajiri wakubwa kupitia ukulima, ufugaji na uhunzi wa zana mbalimbali.

Mkuu mshana jr unataka kutuaminisha ya kwamba dhana ya uwepo wa dini ni utapeli uliotukuka?
Je, hujawahi kushuhudia matendo makuu ya Mungu ktk kuishi kwako hapa Duniani?

Tusiwahukumu kwa matendo yao na umiriki wao wa mapambo ya Dunia, vyote tutaviacha hapahapa.

Kwa Mungu kila goti litapigwa.
Kila mmoja apambane kuurithi ufalme wa Mbinguni.
Rudia kusoma mstari mmoja mmoja, maana naona hujaelewa kilichoandikwa
 
Back
Top Bottom