Watalaamu wa window phone

Watalaamu wa window phone

Ngosha255

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
430
Reaction score
512
Naomba msaada kwa yafuatayo kwenye Lumia 625 wp8
1: Je inawezekana pokes app from another 4ne, if yes nipe procedures.
2: uki-install app eg opera mini unaambiwa not available in a store.
3: site gani Ina free app nyingi for wp8
4: Je naweza upgrade to WP 8.1? how
MWENYE MAUJUZI ANAKARIBISHWA
 
Naomba msaada kwa yafuatayo kwenye Lumia 625 wp8
1: Je inawezekana pokes app from another 4ne, if yes nipe procedures.
2: uki-install app eg opera mini unaambiwa not available in a store.
3: site gani Ina free app nyingi for wp8
4: Je naweza upgrade to WP 8.1? how
MWENYE MAUJUZI ANAKARIBISHWA

kwani wewe hujui kusoma aisee, hiyo windows 8 625 iko straight forward katika maelezo yake, usiwe mvivu wa kufukunyua mkuu, kama opera min haitumiki kwenye hyo cm, tumia UC BROWSERS, haipokei application yoyote, na pia ina free application nyingi sana kuliko hata playstore
 
hayo maswali yako yanajibiwa humohumo kwenye sim...
 
Ahsante bhana lakini elewa kujuwa kusoma sio tiketi ya kujua mambo,
 
kwani wewe hujui kusoma
aisee, hiyo windows 8 625 iko straight forward katika maelezo yake,
usiwe mvivu wa kufukunyua mkuu, kama opera min haitumiki kwenye hyo cm,
tumia UC BROWSERS, haipokei application yoyote, na pia ina free
application nyingi sana kuliko hata playstore
hizo free app nyingi kuliko hata play store zinapatikana wapi fukunyungu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom