Shazam for windows phone is discontinued

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,096
2,286
Kama ulikuwa ni fan wa Shazam na umeitumia windows phone, basi utambue ya kuwa utakapo-Uninstall au kureSet Simu yako basi hutaweza tena kuipata kutoka APP STORE.

officially kuanzai 7 february 2017 shazam wamejitoa kwenye WIndows phone.

Shazam kills off its Windows Phone and Windows 10 app

Effective Feb. 7, 2017, we are sunsetting Shazam for Windows. However, anyone who previously downloaded and installed Shazam for Windows on their phone can continue to use the app and access all features.

What happened to Shazam for Windows?

It has been discontinued, and as of Feb. 7, 2017, will no longer be supported—nor will it appear in the Microsoft App Store as an available download.

Can I still use Shazam for Windows on my phone if I previously downloaded it?

Yes! Shazam will continue to work until or unless it becomes incompatible with a different
version of Microsoft’s operating system.

Will there be any further updates to Shazam for Windows?

No. The current Shazam for Windows is the final version.

upload_2017-4-9_12-29-22.png
 
Ni kweli juzi tu niliisearch nikaikosa kabisa aisee. Alafu Mkuu hebu nipe procedure nataka reset kila kitu kwenye iPhone 5c sasa m Ni mgeni kabisa kwa hii IOS je nikireset Ili Ianze upya kila kitu haitanishmbua hizo Ma iCloud account Na Akina itune ?Ikumbukwe kua I cloud Na itune nimekuta Ni za user wa mwanzo Ila hadi password zake ninazo
 
Kama unazo paswad haina tabu mkuu
 
hii ni ishara mbaya sana kwa windows phone future. Facebook wenyewe wataDiscontinue app yao kwa windows phone 8.1
 
ni
Inakuaje hapo Mkuu uwp Ni zipi
application ambazo zitafanya kazi kwenye vifaa vyote vya windows (PC, tablet,Mobile, gears za windows) bila kuja kama kifaa kinatumia windows mobile OS au Computer Os. Ingawa hili bado halijawa popular . ila ndio mategemeo
 
Je uwp zitafunction kwa Simu zote za zamani zilizokua Zina run OS ya window au itatulazimu kumiliki device mpya pia
 
Back
Top Bottom