Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,927
Huwa naangalia TV mfano Live kutoka Ikulu au tukio lolote linalohusu nchi basi labda lipo live mubashara mfano Channel Ten, nikabadirisha Stationi nikienda TV E ya Majizo nakuta tena Channel Ten upande na TV E upande mwingine.
Je? Hapo huwa wanafanyaje fanyaje mpaka inakuwa hivyo.
Natunguliza shukrani zangu kwenu.
Je? Hapo huwa wanafanyaje fanyaje mpaka inakuwa hivyo.
Natunguliza shukrani zangu kwenu.