IsaacMG
Member
- Dec 6, 2019
- 63
- 51
Habari zenu wanajf .
Leo kuna mahali nilipita nikakuta ubishi mkubwa sana kuhusiana na usajiri huu mpya.
kwenye ubishi huo kuna upande ulikuwa unatetea hoja kwamba , kupitia usajiri huu wa Alama za vidole TCRA hawatalazimika kuwa na namba yako ili kupata taarifa zako badala yake Watakuwa wanaingiza jina lako kamili na kuona jina hilo limesajiri laini ipi na kupata taarifa za mhusika.
upande mwingine ukasema kuwa hiyo haiwezekani kupata taarifa za mhusika bila kuwa na namba yake .
watalaam wa masuala ya mtandao na masuala ya IT naombeni mnipe ufafanuzi kwa faida yangu na wengine pia.
ASANTENI SANA
Sent using Jamii Forums mobile app