Nina uhakika hujaelewa mada inayo jadiliwa.Membe kuwa mgombea wa Urais chadema
Kwa hiyo tunategemea Halmashauri kuu ya CCM kumtangaza Membe kuwa mgombea wa urais CHADEMA auMembe kuwa mgombea wa Urais chadema
Nina uhakika hujaelewa mada inayo jadiliwa.
Mkuu, basi nipuuze kama itakusaidia kuelewa mada inayo jadiliwa itakuwa vyema.Wewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Ataenda ACT?Sumaye kweli anajisikia vibaua sana huko aliko lakini anakuwa na aibu. Haendi CCM huyo.
Ataenda ACT?
Sidhani kama ameachana ,wanasiasa si wakuamini kwenye kauli zaoAmeachana na siasa.
Kinachoendelea hapa Mwanzacutelove hicho kikao ni cha lini wengine tupo nyuma ya hizi habari
Membe anamkosesha sana usingizi MekoMembe kuwa mgombea wa Urais chadema
Kafue bwana, maana inaonekama hauko sawa!Membe kuwa mgombea wa Urais chadema
Membe mtu mdogo sana kwa mekoMembe anamkosesha sana usingizi Meko
Sent from my SM-A207F using Tapatalk