Kaka wa Dep_AL
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 711
- 1,113
Hawana ubinadamu hawana aibu hawana maana. Mzazi na mambo ya jf anaingiaje? Mara aseme kwao pa kawaida, walitaka ajenge ghorofa? Yeye fake p kwao kuna ghorofa?Mahi niache 😂
Wanasema usimpige teke mtu ambaye tayari yuko chini (Don't kick someone when they're down).
Hata kama ana mapungufu yake, we unaona ni sawa kuanza kumtukania mzazi wake ambaye ndiyo kwanza amefariki?
Nitapoanza kuwa mnyama kama wao hawa kina fake p lamony na cocaSticc watatafuta pa kujificha. Waache waendelee na huu uzushi wao wataona hawanijui vizuri hawa