Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Kwahiyo kama leo mamelodi wameshinda huyo mpenzi wako naye anafaidika vipi?
Faida ni nyingi sana, club yangu inapo shinda, napata furaha, nikiwa na furaha, inasaidia ku neutralize mambo mnalimbali mfano, kama imetokea amenikera kama ilivo ada ya mahusiano, club yangu ikishinda Ile furaha inanifanya nasahau au nasamehe makosa ya mke wangu ambapo pengine tungeishia kugombana, nimekupa Hilo tu nayo mengi sana
 
Hapo kwenye vijana kujifunzia kukwea minazi kwenye ng'ombe hapo, hebu nidadavulie.
Nilishawahi kusikia mmasai anasema ng'ombe jike wana harufu tamu, sikumuelewa, kumbe inawezekana ..........
duh! mwanaume aliyekupata amepata bahati kwa uhakika hawezi chepuka kulngana na maufund ulionao nashuku utakuwa mswahil au mnzazibar
 
Faida ni nyingi sana, club yangu inapo shinda, napata furaha, nikiwa na furaha, inasaidia ku neutralize mambo mnalimbali mfano, kama imetokea amenikera kama ilivo ada ya mahusiano, club yangu ikishinda Ile furaha inanifanya nasahau au nasamehe makosa ya mke wangu ambapo pengine tungeishia kugombana, nimekupa Hilo tu nayo mengi sana mkuu
Inapendeza sana 🙌 🔥 🔥
 
duh! mwanaume aliyekupata amepata bahati kwa uhakika hawezi chepuka kulngana na maufund ulionao nashuku utakuwa mswahil au mnzazibar
Mume afungwa ukanga, analetewe chakula chumbani, analia kwenye .............
Watu wa .................i mtatuweza 😂🤐
 
Back
Top Bottom