Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
- #181
Maskini, labda baada ya hapo alikua anajishtukia hatari, yani mtu mnajuana toka utotoni na bado dyudyu limekutisha je hao wa kukutana ukubwani itakuwaje.Aahh weee nliogopa sana afu kama alihisi hivi, yule mkaka alikuwa handsome wakati huo nami bado kigoli sjui first Yr ile nimekuwa tu na mwanaume mmoja Wycliffe wangu nikiwa form 6 mpaka hapo tukaja zinguana na mpenzi wangu, ndiyo ukaribu na G ukazidi sio kama tulikuwa hatujuani...hapana tulijuana toka utotoni mdogo wake alikuwa rafiki yangu sana since primary...basi yule kaka katoka zake dar akaja Morogoro nlipokuwa chuo.....aahhh wee sio kwa umbile lile
Inaonekana basi umble lilizidi, hata ningekua mimi ningemtafutia sababu, nani anataka kuchanika 😂