kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,389
- 22,949
waliniona wakaniomba msamaha nikawambia mkuu anamwita mwl wanamsubili kikaoniDuuuh 😂😂 hatari sana, eenhe walikuona? au ulitoka kabla hujaonekana?
waliniona wakaniomba msamaha nikawambia mkuu anamwita mwl wanamsubili kikaoniDuuuh 😂😂 hatari sana, eenhe walikuona? au ulitoka kabla hujaonekana?
Labda umeblokiwa kule, vipi tumuite hapa tumuulize kulikoni mbona anakuandama hivyo?Alooo mimi uzi siuoni tena sijui kwanini😢
Yani hapo hapo, na utupu wao waliweza kukuongelesha?waliniona wakaniomba msamaha nikawambia mkuu anamwita mwl wanamsubili kikaoni
1. Kale kaulimi ambako wamaasai wanakaondoa.Nimewamiss wanajukwaa.
Njooni tubadilishane mawili matatu, jichagulie swali hapo chini tupige story!
- Je wajua kwamba wanawake wana kiungo kimoja mwilini ambacho kazi yake ni kusikia raha tu na hakina kazi nyingine yoyote? Kama unakijua kitaje na utuambie wewe huwa unakishughulikiaje?
- Nifundishe kitu ambacho unahisi nitakua sikifahamu.
- Ukitaka mwenzako aje kwako au awahi kurudi nyumbani kwa sababu unataka akupe mambo, huwa unamuambiaje?
Mie nina 2 ambazo hazijawahi kufeli; Baba ……. urudi mapema leo nina hamu na wewe & mpenzi leo nimepika ……… ila uje kwanza kunila mpishi, niko kitandani nakusubiri.
- Kitu gani ulishawahi kukishuhudia kwa macho na hutakisahau kamwe?
- Ushawahi kukutana na maumbile ya binadamu yakakushangaza? ilikuwaje?
- Kama kawaida: niulize swali lolote nitakujibu!
View attachment 3575053
Ilikuwa wanitulize hamna namna na kamsamaha juu nikapewa na tenYani hapo hapo, na utupu wao waliweza kukuongelesha?
Kumbe na wamasai nao huwa wanakaondoa?1. Kale kaulimi ambako wamaasai wanakaondoa.
Sijui ila nimekutagHuo uzi mbona mi si uoni
Why?
Daah ilikua msala tayari, kweli hilo tukio huwezi kusahau!Ilikuwa wanitulize hamna namna na kamsamaha juu nikapewa na ten
Hapo kakosea sana! Hiyo tuhuma sio nzuri especially Mwanamke kumuita mwenzio hiyo! Sio sawa..Kwanini sasa anifate PM na kuniita malaya
Kumbe kuna uzi mwingine wa mtanange ulifuguliwa 😂 😂 😂 nacheka kama mazuri, aiseeeh!Sijui ila nimekutag
NimeonaSijui ila nimekutag
Sio hivyo nakunitishia maisha can you imagine huyu ni wakuchekea huyu?Hapo kakosea sana! Hiyo tuhuma sio nzuri especially Mwanamke kumuita mwenzio hiyo! Sio sawa..
Mimi ndio nimeuona Huohuo sijui kilitokea nini kwakweli🫢Kumbe kuna uzi mwingine wa mtanange ulifuguliwa 😂 😂 😂 nacheka kama mazuri, aiseeeh!
Hiyo ni hatari watu wanauanaga kisa wanaume!Sio hivyo nakunitishia maisha can you imagine huyu ni wakuchekea huyu?
Nawaomba kama mama msuluhishi, siyo vizuri kama mabinti kurushiana maneno huku mitandaoni hivi.Ndio Fake P njoo huku tuyamalize
Halafu anajidai ni issu nyingine akiulizwa aitaje hatakiHiyo ni hatari watu wanauanaga kisa wanaume!
Kujidhalilisha tu!Nawaomba kama mama msuluhishi, siyo vizuri kama mabinti kurushiana maneno huku mitandaoni hivi.
Hebu malizeni hii ishu, mnawapa faida watu bila sababu na wanawashabikia ila haileti taswira nzuri.
ShesRise_1 & Fake P
Hahahah pole !Halafu anajidai ni issu nyingine akiulizwa aitaje hataki
Mtu mwenyewe nipo single nalala kama panga anatokea kichaa na kunitwisha scandal za kiwaki 🙌
NB siwezi kugombea uboo mimi 🚮🚮🚮🚮
Kwa stage aliyofikia huyu dada sitaki kusikia chochote kumhusu🙏🙏Nawaomba kama mama msuluhishi, siyo vizuri kama mabinti kurushiana maneno huku mitandaoni hivi.
Hebu malizeni hii ishu, mnawapa faida watu bila sababu na wanawashabikia ila haileti taswira nzuri.
ShesRise_1 & Fake P