yap i got ua point man nothing good that can com in your hand free. bt nilikuwa nafikiri si sahihi kuuza information kama tunaitaji mabadiliko na mapinduzi katika nyanja ya science na teknolojia kwani bila kuwahusisha wazalendo katika eneo hili tusitegemee maendeleo yoyote ktk nchi yetu huko nyuma kulikuwa na taratibu za baadhi ya vyuo eg UDSM kulipia accessibilty za hizi tafiti kutoka katika jumuiya fulani i.e ACS & CCS n.k kwa ajili ya wanafunzi kuweza kuzipata kwa sasa hilo halipo gharama za journal za uhakika ni kubwa sana kwa mwanafunzi anaetegemea loan board morali ya wanafunzi kujiendeleza katika sayansi inapotea..........