Watafiti wa kisayansi wachoyo wa taarifa

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Jambo hili linanishangaza sana ninavyofahamu mimi tafiti nyingi za kisayansi zinafanywa baada ya tafiti husika kupata fund. Baada ya tafiti husika kukamilika ili mtu uweze kupata taarifa kutoka kwa kile kilichofanyika nyingi za ripoti inabidi hadi ununue online mfano mimi natafuta taarifa fulani kutoka katika machapisho ya nyuma yafananayo na hii ninayoitaji kufanya ila kila ripoti nionayo ina title ninayoitaji kuipitia eti inabidi niinunue hii kweli sawa waungwana?????????????/ nyingi gharama kuanzia $32-40
 
Ahaaa ama kweli hi ni raha ya utandawazi kwa watumiao mitandao kudownload xx movies music vid n.k likija swala la elimu duuuh wanakaba mbaka penalti
 
Jambo hili linanishangaza sana ninavyofahamu mimi tafiti nyingi za kisayansi zinafanywa baada ya tafiti husika kupata fund. Baada ya tafiti husika kukamilika ili mtu uweze kupata taarifa kutoka kwa kile kilichofanyika nyingi za ripoti inabidi hadi ununue online mfano mimi natafuta taarifa fulani kutoka katika machapisho ya nyuma yafananayo na hii ninayoitaji kufanya ila kila ripoti nionayo ina title ninayoitaji kuipitia eti inabidi niinunue hii kweli sawa waungwana?????????????/ nyingi gharama kuanzia $32-40

Umeshawahi kuwa mtafiti? Unajichanganya sana.... mara unasema tafiti kufanyika lazima fund ipatikane - which might be true as it depends on the nature of the research and its purpose....... Kwa maana the fund implication to the research may also mean tafiti husika kuuzwa online or kwa hard copy or both.

Research kuuzwa au kutouzwa inategemeana na nature, purpose, magnitude, target group, funders etc....... Hizo online researches or publications si zote zinauzwa. Ndo maana kuna hata some webs ambazo wao wanatoa bure hizo researches, publications, books....... Mwisho wa siku inategemeana na research husika na ww utanufaika vp baada ya kuipata hiyo tafiti.........

Mwisho wa info is power.
 
yap i got ua point man nothing good that can com in your hand free. bt nilikuwa nafikiri si sahihi kuuza information kama tunaitaji mabadiliko na mapinduzi katika nyanja ya science na teknolojia kwani bila kuwahusisha wazalendo katika eneo hili tusitegemee maendeleo yoyote ktk nchi yetu huko nyuma kulikuwa na taratibu za baadhi ya vyuo eg UDSM kulipia accessibilty za hizi tafiti kutoka katika jumuiya fulani i.e ACS & CCS n.k kwa ajili ya wanafunzi kuweza kuzipata kwa sasa hilo halipo gharama za journal za uhakika ni kubwa sana kwa mwanafunzi anaetegemea loan board morali ya wanafunzi kujiendeleza katika sayansi inapotea..........
 
Mkuu!!

Its very good you have raised this issue ...! Second ..I'm happy with you seeking to get the research information to the extent of buying them on line. Because ..no body in this country care to seek and even to use the research materials... No body has a real argue to see them used ... unless maybe to win political influence..

But to acquire them free? No, no I don't agree with you ...!! You should probably even propose how to reduce some government and political expenditure to back up the scientists hard work which always not acknowledged by politicians and political figures ..something like that but .. ..free research materials... No!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom