Watabe wa Tax: TRA Vs BOT

Watabe wa Tax: TRA Vs BOT

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,220
Embu wajuaji wa mambo haya waanze kudadavua wakitokea hapa kwenye income tax practise notice number 05/2013 iliyotiwa sahihi tarehe 1/11/2013.

Imeibuka mijadala juu ya makato ya 18% ambayo ni vAt,kimsing hii ni kodi alipayo mlaji.

TRa wamesema yao na BOT Wamesema yao sasa nani mkweli hapa

Wale wataalamu wa Tax tunawaomba hapa,
 
BOT ni mshauri tuu kuhusu mambo ya kodi na athari zake kwa uchumi, TRA ndio watu wa kodi
 
BOT ni Bank of Tanzania, cha msingi wanahusika na sarafu ya Tanzania, kwingine ni ushauri lakini TRA ni Tanzania Revenue Authority cha msingi wanahusika na mapato ya Serikali kwingine ni ushsuri tu!
 
Back
Top Bottom