Wataalamu wa umeme naombeni ushauri wa jambo hili

Shedangio

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
448
170
Nataka kununua Jenereta ambalo lina uwezo wa kuwashwa pamoja na mashine ya kusaga HP 20 na kukoboa HP 15.

Je, Diesel silent generator itatakiwa ya KVA ngapi?

Naomba kuwasilisha
 
Range(45 na 55+)utakuwa safe side kwa
Kuweza kusychronize hivyo vinu vyako kwa wakat mmoja.
 
1 hp = 746w
35hp = 26110w=26.1kw

Aparent Power (kva) =Real Power (w)/0.8=26.1/0,8=33kva

50kva ni kubwa sana , chek ukipata la 35-40kva ilinatosha2
 
Back
Top Bottom