Wataalamu wa solidty programing na blockchain naomba msaada

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Salamu wakuu,

Nina tokens (ERC20 token) kwenye wallet ya Metamask na zinaonyesha thamani ya wastani wa $8 kwa token lakini kwenye etherscan inaonyesha $0.

Kuna namna ya kutengeneza Dapp ambayo itaunganishwa (integrate) na Metamask na kuweza kuzitumia hizi tokens for online payments?
 
Sasa dogo hiyo $8 haitoshi kulipa transaction fees,ethereum blockchain kwa sasa tumewaachia matajiri akina Ontario wenye $$$ za kutosha
 
Sasa dogo hiyo $8 haitoshi kulipa transaction fees,ethereum blockchain kwa sasa tumewaachia matajiri akina Ontario wenye $$$ za kutosha
Huyo dogo bado anapiga picha nyumba za watu akisema amewanunulia wazazi wake?
 
Dogo kwa sasa sio mwenzako
Nakubali kwa 100%,maana Sina guts za kupiga picha nyumba ya watu na kusema nimewanunulia wazazi hio nyumba,halafu nikaambiwa oyaa acha ku post nyumba ya wazee wangu na akafuta fasta.
 
OK

OK saws,kwahiyo unataka kuyengeneza Dapp au unataka kuzitumia kufanya manunuzi maana naona kama vile hueleweki
Kufanya manunuzi moja kwa moja kutoka Metamask haiwezekani. Nadhani inatakiwa Dapp ambayo italipa in terms of $
 
Salamu wakuu.
Nina tokens (ERC20 token) kwenye wallet ya Metamask na zinaonyesha thamani ya wastani wa $8 kwa token lakini kwenye etherscan inaonyesha $0. Kuna namna ya kutengeneza Dapp ambayo itaunganishwa (integrate) na Metamask na kuweza kuzitumia hizi tokens for online payment
Kama vipi pita humu mkuu

Sample dapp

Fanya transactions


Other helpful Api link




Sijui kama nimeelewa
 
Kama vipi pita humu mkuu

Sample dapp

Fanya transactions


Other helpful Api link




Sijui kama nimeelewa
Nashukuru mkuu. Kuna developer ananisaidia hii process ngoja nimpe hizo links
 
Back
Top Bottom