Wataalamu wa program za muziki naombeni msaada wenu

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
habari za majukumu ndugu zangu, naombeni kwa wajuzi wa program za kutengeneza mziki, kuna hili pambio limeimbwa na solly mahlangu wa S.A linaitwa obligado, nalipenda sana beat lake lakini sijui namna ya kutoa sauti na kubakiwa na beat mp3. Naombeni mnisaidie please. natanguliza shukrani kwa yeyote atakaye nisaidia Mungu ambariki. Ahsanteni.
 
Ndugu kama ukikosa MTU anayejua jambo hilo basi nj vyema ukapitia TBC watakusaidia sana
 
#2017-No-Name

ahsante mdau kwa mchango wako, lakini nahitaji kutoa vocal na kubaki na beat tu sio kunvert toka video to audio, hapana
 
#2017-No-Name

ahsante mdau kwa mchango wako, lakini nahitaji kutoa vocal na kubaki na beat tu sio kunvert toka video to audio, hapana
Hata mi Nina Shida na hiyo tena ingewezekana watutumie Clips,za Namna ya kutumia hiyo kitu
 
si rahis ku chuja sauti kwenye mziki na kubaki na biti tu kama ifikirikavyo kwasababu ili kuchuja biti lanyuma tu(backgtound beat extraction) ina hitaji wave editing ya huo wimbo.

unawezakutumia softwares kama Source Forge ,Udacity na Goldwave na zinginezo nying ili ku editi mawinbi ya huo wimbo pia kwenye software hizi ujaweza ku kandamiza sauti ya wimbo kwakiasikikubwa kama asilimia 80% lakinibado kutakua na visauti kwambali kama asilimia 20% ambyo ili ku malizia kufanya usafi wanyimbo ili unakinabiti tupu ina bidi ufanye wave editing manually kwa kupitia kila kipisi cha vocal kwenye wave editor.
 
Back
Top Bottom