cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,417
Duuh.... Mimi nilikimbia umande [emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jiwe gani limechongoka kama mwezi.
Hapa wameitwa physician na sio lawyers mambo ya mashtaka yametokea wapi mkuu.Mi nadhani hakuna atakae kufa maana jiwe litaangukia pembeni kama likiwapiga basi wanaweza kuwahishwa hospital na kupata matibabu na E kufunguliwa mashtaka
Mkuu physics ni maisha ya kawaida ya kila siku wala sio lazima sana uwe umeyasoma kwenye vitabu so nimetumia general knowledge na nikaweka na kakifungu hapo ili kukomesha matendo kama hayoHapa wameitwa physician na sio lawyers mambo ya mashtaka yametokea wapi mkuu.
Hini ni Physician AU Physist?Hapa wameitwa physician na sio lawyers mambo ya mashtaka yametokea wapi mkuu.