wataalamu wa motokaa. terrios vs cami

wataalamu wa motokaa. terrios vs cami

Sure, Hizi gari zafafana sana. Binafsi hata mm nlipata shida sana nlipotaka kununua Mojawapo. Lakini nkajafikia uamuzi ninunue Cami kwa Vile TOYOTA wana Jina Kubwa linaloaminika.

Baadae nkajagundua kuwa hamna tofauti yoyote iliyopo kwani Spare zake huingiliana.

Pili kwenye Engine # ya Cami pameandikwa DAIHATSU COORPARATION.

Which means that TOYOTA waliomba/Pewa Underlicence ya kuzitengeneza kwa ajili ya kuzitafutia Masoko zaidi kwa kupendwa kwake jinsi zilivyo kama SUV(Sports Utility Vehicle)

Baaadae TOYOTA waliamua kuunda za kwao wenyewe na kuzitofautisha Jina na kuwa brand ya Toyota(RUSH)

Underlicence waliyopewa toyota ilijumuisha matengenezo ya Brand mbili za DAIHTSU(Storia & Terrios)
TOYOTA wakunda(CAMI & DUET)

TOYOTA waliuza Copy nyingi sana ya hizi brand Names(Cami & Duet) Duniani ukilinganisha na walio design wenyewe(Daihtsu)

NB! Ifahamike kuwa hizi ni kampuni mbili tofauti lakini kitu ni kile kile kwa vile Muasisi(Daihatsu) alitoa Underlicence kwa(TOYOTA) kwa ajili ya kutafutiwa na kupanuliwa wigo wa Soko la Kimataifa.

Naomba niishie hapa kwani kuna wengine wenye ufahamu zaidi yangu watapita na kujalizia tena knowledge tupate kuzielewa vizuri hizi product Mbili.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Thanks!! Nami nimenufaika na hili je upande wa durability ipi iko poa kidogo? kati ya hizo mbili
 
Kaka samahani gari yangu inatatizo kidogo gari nia aina ya NOAH toleo 2000nimeinunua Japan ila nikifika speed 80 Sterling yangu ina cheza yaani ina tetemeka je tatizo ninini
 
Sure, Hizi gari zafafana sana. Binafsi hata mm nlipata shida sana nlipotaka kununua Mojawapo. Lakini nkajafikia uamuzi ninunue Cami kwa Vile TOYOTA wana Jina Kubwa linaloaminika.

Baadae nkajagundua kuwa hamna tofauti yoyote iliyopo kwani Spare zake huingiliana.

Pili kwenye Engine # ya Cami pameandikwa DAIHATSU COORPARATION.

Which means that TOYOTA waliomba/Pewa Underlicence ya kuzitengeneza kwa ajili ya kuzitafutia Masoko zaidi kwa kupendwa kwake jinsi zilivyo kama SUV(Sports Utility Vehicle)

Baaadae TOYOTA waliamua kuunda za kwao wenyewe na kuzitofautisha Jina na kuwa brand ya Toyota(RUSH)

Underlicence waliyopewa toyota ilijumuisha matengenezo ya Brand mbili za DAIHTSU(Storia & Terrios)
TOYOTA wakunda(CAMI & DUET)

TOYOTA waliuza Copy nyingi sana ya hizi brand Names(Cami & Duet) Duniani ukilinganisha na walio design wenyewe(Daihtsu)

NB! Ifahamike kuwa hizi ni kampuni mbili tofauti lakini kitu ni kile kile kwa vile Muasisi(Daihatsu) alitoa Underlicence kwa(TOYOTA) kwa ajili ya kutafutiwa na kupanuliwa wigo wa Soko la Kimataifa.

Naomba niishie hapa kwani kuna wengine wenye ufahamu zaidi yangu watapita na kujalizia tena knowledge tupate kuzielewa vizuri hizi product Mbili.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

kweli wewe ni kati ya hazina za jf. nashukuru sana kwa maelezo yako ya kina.
 
The second generation of Terios was co-developed by Daihatsu and fellow Japanese manufacturer Toyota.
 
Ngoja mie nikajichukulie Volksiwagen touran!
 
Kwa Upande wa Durability naomba Niongelee kwa Experience Nliyonayo kwani Mm nnamiliki CAMI na Rafiki yangu huwa anamiliki TERRIOS.

Tulinunua pamoja na Tunafanya kazi pamoja na huwa akipatwa Tatizo huwa tuna share.

Huwa analalamika sana suala la Sensor kufa kwenye TERRIOS yake. Na akimuuliza Fundi sababu anakuwa hampi jibu zuri la kiufundi/Taalam.

Kwa Upande wa Cami kwa Miaka 4 hivi sasa tokea Nnunue, tatizo nlilokumbana nalo, tena kwa Uzembe, Ni kufa kwa CV Joints. Tatizo ambalo husababishwa na Kupita kwenye Madimbwi na Kusababisha Kupasuka kwa Rubber Boots.

Kingine labda Bearings/Bush/Taa za Brake, Ambavyo Ni Vitu vya Kawaida katika Gari yoyote.

Pili Body ya TERRIOS huelekea Kuchoka na Kupoteza Mvuto kadri siku zinavyozidi kusogea. Hadi rafik iyangu aikiitazama CAMI yangu, anajutia na kusema Angelijua naye paia angelinunua CAMI.

Kwa jamaa aliyeulizia Usukani wa NOAH Kucheza akiwa kwenye Speed anzia 80.
Ni tatizo dogo.
Muone Fundi afanye Checkup Kwenye Tie-Road-Ends pengine zimechoka, la sivyo acheki kama Engine Mountin ni nzima au La.

Pia Usukani huwa na tabia ya Kulegea. Wapo wataaalam wa Kurekebisha Usukani.Na gharama ni as simple as chini ya Buku 10 tu unafanyiwa Service ya Steering Wheel.

Naomba niishie hapa kwani kuna vichwa navyo vinataka kutema Ma-Experience yao hapa ili tuelimike wote. Karibuni.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwa taarifa tu ni kuwa Diahatsu inamilikisa Kwa asilimia [emoji817] na Toyota! Kwa miaka mingi Toyota imekuwa ikiimiliki kwa asilimia kadhaa lkn miaka ya karibuni walinunua share zote. Hivyo Daihatsu is a subsidiary company whole owned by Toyota.
 
Back
Top Bottom