Whitney Houston
JF-Expert Member
- Jan 5, 2019
- 213
- 403
Wadau, kwema?,naomba kwa anayefaham mmea huu anisaidie unaitwaje
asantesnake tree
Aloe veraWadau, kwema?,naomba kwa anayefaham mmea huu anisaidie unaitwaje
View attachment 1657644
Kwa kweli kwetu upo ila hilo jina sasa hata mimi sijuiWadau, kwema?,naomba kwa anayefaham mmea huu anisaidie unaitwaje
View attachment 1657644
Aloe vera
Katani iliochangamka
Wadau, kwema?,naomba kwa anayefaham mmea huu anisaidie unaitwaje
View attachment 1657644
aloe yenyewe ina miba imezunguka pembeni,halafu ni kijani kibichi.Kuna mdau hapo juu ameisha nisaidia jina la mmeaAloe vera
Snake plantWadau, kwema?,naomba kwa anayefaham mmea huu anisaidie unaitwaje
View attachment 1657644
Kumekucha..naufahamu sana panda nje pembeni ya mlango wako kwa kulia na kushoto ni migumu sana kushika chini lakini faida yake ni kubwa mno yapo mazuri yake mengi tu
Kuna nini tena huko??Mi si mzoefu kutumia jf sana.Huko pm sipajuiNje Ya Mada Bi Whitney Houston
Nitafute PM Tafadhali!!!
Jitahidi PM Bofya Username UtaendeleaKuna nini tena huko??Mi si mzoefu kutumia jf sana.Huko pm sipajui