Wataalamu wa mimea, huu ni mmea gani?

Tutajie mazuri hayo mkuu.
ni miongoni mwa lucky plant chini yake waweza panda shamrock plants kukazia na utaanza ana maajabu yake wepesi wa kila jambo maishani [kila ukionacho kuanzia mimea hadi wadudu huwa namaana great works ipo kungamua or intelegency to know its works ]
 
Morher in law tongue( snake plant)
Dracaena trifasciata is a species of flowering plant in the family Asparagaceae, native to tropical West Africa from Nigeria east to the Congo. It is most commonly known as the snake plant, Saint George's sword, mother-in-law's tongue, and viper's bowstring hemp, among other names. Wikipedia

Scientific name: Dracaena trifasciata

Higher classification: Dracaena

Rank: Species

Family: Asparagaceae

Kingdom: Plantae

Order: Asparagales
 
Snake flower / Snake plant .

Najua FAIDA ya hili ua kuwa ni mojawapo kati ya mimea inayonyonya sana Carbon dioxide kuliko mimea mingine mingi, hivyo ni nzuri sana wakati wa mchana kwa kurelease Oxygen na kuabsorbs carbon dioxide usiku.

Mingine kwa indoor ni Areca Palm na Aloe Vera

Ndio maana katika garden yoyote na hata ktk baadhi ya ofisi popote duniani wanapenda kupanda haya.
 
ni miongoni mwa lucky plant chini yake waweza panda shamrock plants kukazia na utaanza ana maajabu yake wepesi wa kila jambo maishani [kila ukionacho kuanzia mimea hadi wadudu huwa namaana great works ipo kungamua or intelegency to know its works ]
je!Na upande wa matibabu huu mmea umekaaje?
Nakumbuka nikiwa mtoto,siku moja kuna mwenzetu tukiwa mafundisho aliumwa na sikio hadi akawa analia,basi katekista alichukua jani la hili ua akamtibu nalo,Baadae yule mtoto akasema sikio limepoa.
Juzi jirani yetu naye alikua anaumwa pia sikio(lakini analalamika kuwa kashatumia dawa nyingi za hospitali na tatizo haliishi),sasa niliogopa kumtajia huu mmea kwasababu nilikua siujui kiundani zaidi.
 
ni miongoni mwa lucky plant chini yake waweza panda shamrock plants kukazia na utaanza ana maajabu yake wepesi wa kila jambo maishani [kila ukionacho kuanzia mimea hadi wadudu huwa namaana great works ipo kungamua or intelegency to know its works ]
ingependeza ungeweka na iyo picha ya shamrock ili twende sawa
 
Back
Top Bottom