Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

Nikisema umekurupuka nitakuwa nakuonea?
Sasa kwenye draft s kuna master pia. Wewe umejifunza jana leo unataka kuongea kama fundi. Tuachie wenye michezo yao. Kwa taarifa yako nilishashinda mil 2 kwa ajili ya draft achilia mbali mbuzi na kuku.
 
Wewe ushaambiwa mwenye zamu ya kucheza ni mwenye nyekundu halafu unasema inategemea ni zamu ya nani kucheza
 
kuna mapanyabuku ata hayajui draft...apo ni goli la kawaida la kete tatu au nyekundu asifike kingi na afungwe pia,,,nyekundu akiwa pukapuka asiteme ya mbele anakufa supa...mi mcheza kamari wa madude aya
 
British/French ngoma ni droo.
Hii ni kama wachezaji wote waujua vizuri mchezo husika, kwa sisi wacheza CHESS hii huwa tunaona ni uji wa mtoto.
 
Hiyo super kabisa kama zamu ya nyekundu kucheza

Tena akiuponza kwa kucheza ya nyuma
 
Hiyo super kabisa kama zamu ya nyekundu kucheza

Tena akiuponza kwa kucheza ya nyuma
Siyo super.

Anatema kete ya mbele kwa upande wa meja ndogo.

Kisha anatoka na ile nyekundu ya kule nyuma.

Mwenye bluu akicheza kete iliyokatwa ili aende king ni atashinda bila mwenye nyekundu kuiona king.

Akileta mapepe kucheza hii ya nyuma kabisa atashinda kwa kete 3.
 
Akitokea na nyuma baada ya kutema, mwenye red anakata, kisha mwenye blue popote atakapocheza mwenye red anaweka kete chumba Cha kushoto kwake, game imeisha, supa kitumbo.
 
Back
Top Bottom