mdau mpya
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 471
- 636
Sasa kwenye draft s kuna master pia. Wewe umejifunza jana leo unataka kuongea kama fundi. Tuachie wenye michezo yao. Kwa taarifa yako nilishashinda mil 2 kwa ajili ya draft achilia mbali mbuzi na kuku.Nikisema umekurupuka nitakuwa nakuonea?