Wataalamu wa kodi na payroll, msaada wenu unahitajika

Wataalamu wa kodi na payroll, msaada wenu unahitajika

Soma Income Tax Act S.12 (1-5)
Hapa utapata majibu
Mkuu Sect 11-19 si zinazungumzia Deductions au hyo Act ya mwaka gani..?? Mi nadhani akisoma Section 7 ya Income Tax Act 2004 Revised Edition 2008 ndio ataelewa zaidi kuhusu mada yake hyo, maana kila kitu kimeelezwa vizuri kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimebandika income tax act apekue mwenyewe atapata majibu humo.
 
Najibu mbili na Tatu kwa uzoefu wangu.

2.Posho kwa Serikali haikatwi kadi mfano House allowanc,Tansp allownc,responsi allowanc,Night allowance(Safari) huwa zinaingia kama zilivyo na pia Extra duty/Overtime haikatwi kodi inaingia kama ilivyo.

3.Atakatwa kodi endapo atakivuka kile kima cha chini ambacho kiwekwa na Serikali iwi kiwe tayari kwa kwa kupigwa P.A.Y.E
 
Back
Top Bottom