Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,615
- 2,031
Lile hitaji langu la kununua mziki kwa matumizi ya ndani bado sijafanikiwa,najaribu kuzurura zurura mitandaoni kukusanya taharifa leo nimejaribu kuingia Amazon nikakutana na Home theatre moja nimeweka picha yake hapo chini
Bei yake ni Tshs 781,000/= hadi inanifikia mikononi mwangu.
Je wataalamu mnaionaje? Sipendi ile mispika mirefu naona kama vile uchafu ndani
Bei yake ni Tshs 781,000/= hadi inanifikia mikononi mwangu.
Je wataalamu mnaionaje? Sipendi ile mispika mirefu naona kama vile uchafu ndani