Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,286
2,000
Lile hitaji langu la kununua mziki kwa matumizi ya ndani bado sijafanikiwa,najaribu kuzurura zurura mitandaoni kukusanya taharifa leo nimejaribu kuingia Amazon nikakutana na Home theatre moja nimeweka picha yake hapo chini
Bei yake ni Tshs 781,000/= hadi inanifikia mikononi mwangu.

Je wataalamu mnaionaje? Sipendi ile mispika mirefu naona kama vile uchafu ndani
Screenshot_2021-08-25_142559.jpg
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,602
2,000
Mkuu hili uliloweka hapa ni tangazo la biashara. Jaribu kufunguka tu ili tukutafutie wateja. Usiogope, hautokatwa tozo.
 
Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
8,969
2,000
Lile hitaji langu la kununua mziki kwa matumizi ya ndani bado sijafanikiwa,najaribu kuzurura zurura mitandaoni kukusanya taharifa leo nimejaribu kuingia Amazon nikakutana na Home theatre moja nimeweka picha yake hapo chini
Bei yake ni Tshs 781,000/= hadi inanifikia mikononi mwangu.

Je wataalamu mnaionaje? Sipendi ile mispika mirefu naona kama vile uchafu ndani View attachment 1907732
Tafuta sound bar. Home theater imepitwa muda
 
swahib sinjo

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
282
250
Lile hitaji langu la kununua mziki kwa matumizi ya ndani bado sijafanikiwa,najaribu kuzurura zurura mitandaoni kukusanya taharifa leo nimejaribu kuingia Amazon nikakutana na Home theatre moja nimeweka picha yake hapo chini
Bei yake ni Tshs 781,000/= hadi inanifikia mikononi mwangu.

Je wataalamu mnaionaje? Sipendi ile mispika mirefu naona kama vile uchafu ndani View attachment 1907732
mkuu, hiyo ni home theater au sub woofer????
 
jaap

JF-Expert Member
Dec 25, 2018
1,534
2,000
Kuanzia $700 mpaka $ 1,200, Dubai au unaweza kuagiza nje. Pia kuna Boston Acoustics, Bose etc.
Mbona mliman zipo laki sita mpaka million, lakin sound bar hazina bei Sana kama home theater, lakin sound bar ni nzur Kwa kuchekia filam
 
Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,286
2,000
Mbona mliman zipo laki sita mpaka million, lakin sound bar hazina bei Sana kama home theater, lakin sound bar ni nzur Kwa kuchekia filam
Sound Bar ya watts 700 inaenda hadi Tshs laki tisa mlimani ilhali hometheatre ya watts 1000 ni Tshs laki nane na Hi-fi ya watts 600 inakwenda Tshs laki 9 mlimanj
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom