Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

Mbona mliman zipo laki sita mpaka million, lakin sound bar hazina bei Sana kama home theater, lakin sound bar ni nzur Kwa kuchekia filam
Wanauzaje hapo Mlimani?
 
Mliman city sound bar zipo kunzia laki 6, lakin Mimi naona DVD HOME THEATER ni nzur zaidi tena Sony watt 1000
Nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi kiongozi
 
Hivi haya huwa mnayaandika na nyie mkiwa nchini TZ, kweli au mko Ulaya??kwa hizi bundles zetu kweli, mtu utumie net, kwenye smart tv?hapo ukute huyo mtu yupo Itenka huko?!!!jamani,!!!
Maisha ndiyo haya haya tu ndugu😂😂😂
 
Naweza nikawa nna hiyo hela na nikauziwa kitu kisicho bora,lengo la kuuliza ushauri hapa ni kununua kitu kilicho bora kwa thamani halisi ya pesa
Siku ukitaka kuoa uje uombe ushauri hapa JF ukiomba upatiwe wasifu wa mwanamke unayetaka kumuoa ili wanaomfahamu wakushauri
 
Hivi haya huwa mnayaandika na nyie mkiwa nchini TZ, kweli au mko Ulaya??kwa hizi bundles zetu kweli, mtu utumie net, kwenye smart tv?hapo ukute huyo mtu yupo Itenka huko?!!!jamani,!!!
Nikwel uko ulaya intanet kwao ni bure na speed Yao nikubwa unaweza Ku download movie ya masaa mawili Kwa dakika 3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom