Wataalamu wa guest tupeni codenet

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
Hii ni guest gani??Na huyu mwenye hii guest aliwaza nini na wateja wake niwaina gani?? maana sidhani unanyumba yako umeamua kuwekeza katika nyumba za wageni unaweka kitu kama hiki yumkini akili yako itakuwa siyo sawa!!
5009b8f2164f8cacb0b1a2d6d4212157.jpg
 
I can imagine uko tingaz unatoka bafuni umeanguka uso unagona ukuta wa kitanda, only imagination.
 
Hii ni guest gani??Na huyu mwenye hii guest aliwaza nini na wateja wake niwaina gani?? maana sidhani unanyumba yako umeamua kuwekeza katika nyumba za wageni unaweka kitu kama hiki yumkini akili yako itakuwa siyo sawa!!
5009b8f2164f8cacb0b1a2d6d4212157.jpg
Tabia za unguja hizo gest zote za mitaani nilizolala zanzibar lazima ukutane na hyo kitu
 
Ukiona hivyo ujue malalamiko ya wateja kuhusu kelele za kitanda cha mbao wakati WA kuchikuchi yamemmfikia mwenye Guest house yake.
 
Ha ha ha ha kuna guest moja ipo Mbagala Zakhem pale kibonde maji wana staili hiyo ya vitanda.
 
Haha kuna mzee mmoja mchaga jirani yangu arusha alijenga mjengo wake na baada kumaliza zikabaki tofali za kutosha akaamua kujenga sita kwa sita za dizaini hiyo, sijawahi kuingia kwake tokea amehamia ila nahisi huko ndani mambo ni safi hata kwenye kwichi kwichi hakuna kero
 
Back
Top Bottom