OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Kuna fundi mmoja amesema niweke za used maana nilibadili baada ya moja kuungua ilikuwa ni za breki.
Mmmmmh yaweza kuwa lakini hapo analeta issue ya "conductivity" au nini? ?!!!
Kuwa yawezekana balbu zina material tofauti na kufanya sensor ifeli???!!!