Wataalamu wa DRY CLEANER

fikirini

Senior Member
May 24, 2011
114
22
Nawasalimu wana JF,
Tafadhali naombeni muongozo wa namna ya kufungua ofisi ya dry cleaner,(ninatakiwa niandae vifaa gani na mazingira yaweje i.e ukubwa wa ofisi n.k) ni juzi tu kamji ketu huku mkoani kamebahatika kuwa na umeme sasa nimeona nifungue mradi huo kufuatana na mahitaji yalioyopo.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, nawasilisha.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom