libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,478
- 3,647
Wanatafakari tulikotoka, tulipo na tunakoelekeaMzee Mangula ana uchapa, Dk Bashiru anaomba muda upite. Mstari wa nyuma mkurugenzi wa uhamiaji anauchapa.
Wanatafakari tulikotoka, tulipo na tunakoelekeaMzee Mangula ana uchapa, Dk Bashiru anaomba muda upite. Mstari wa nyuma mkurugenzi wa uhamiaji anauchapa.
Utajua ukishafika, wasi Wasi wa nini?Sirudi wapi?
Utajua ukishafika, wasi Wasi wa nini?
hakuna aliyesinzia Apo ndugu yanguMzee Mangula ana uchapa, Dk Bashiru anaomba muda upite. Mstari wa nyuma mkurugenzi wa uhamiaji anauchapa.
Acha kupindisha Mzee wako ameuchapa tena anaonekana yupo mbali kwel kwelNimewaangalia walikuwa na mjadala inaonekana Mbowe amekubali aache siasa za kibabe ndani ya chama
Mkubwa kapatikana... Shenz sana[emoji23]Tupo ziarani tunatekeleza ilani ya chamaView attachment 1286279
lugha nzuri ya uandishi tunasema "wanatafakari"Wanasoma ratiba ya shighuli
STORI YA LEO NI MBOWE AOMBA POO KWA JPM....tuko tayari kwa maridhiano, mmeulizwa kama mko tayari?
Certified idiotMbowe kwisha Habari yake kakutana na gwiji la siasa Mzee mangula
Amefundwa amekosa neno
Hilo gari lingezama kabisa na abiria wake ingependeza zaidi.Tupo ziarani tunatekeleza ilani ya chamaView attachment 1286279
akireply nitag mkuuSamahani ndugu nikuulize swali,hivi wewe huwa ni mfanyabiashara,au mtumishi wa umama,au uko private sector au Pastor au shehe au unahishugulisha na Nini ili kupata mkate wako wa kila siku? Hemu tuanzie hapo kwanza kwa leo
Hizi vx v8 pumbafu kabisa zikiona matope zenyewe zinajua mambio tu hakuna jingine na kubugia mafuta zikiona tope kwisha habari yake.Tupo ziarani tunatekeleza ilani ya chamaView attachment 1286279
Mzee Mangula ana uchapa, Dk Bashiru anaomba muda upite. Mstari wa nyuma mkurugenzi wa uhamiaji anauchapa.