Sana halaf wa mpenzi wangu umekaa kunibembeleza hivi[emoji23][emoji23][emoji23] Mwandiko wangu Mbaya?
Mungu anajua zaidi lakini he is my man leo na hata kesho na baadae nampenda anajua Mung atusimamieMy Girlfriend once told me the same.. and she is no Longer..
Toka hapaHahaaa.. sema umekaa kifizikia
Kwelii Kabisaa Asantee saana!usimuache pengine anakijaribu ajue kama unampenda kweli.
nimejaribu kuvaa kiatu chake nimeona:
kikubwa ana hofu ya kutumiwa weee na kuachwa miaka kadhaa ijayo na hajui atakae ishi nae ndyo mana kachkukua uamzi sahihi sana
Nyie bado mnacheza kombolela, so mkimaliza mambo yatakaa sawaNi binti Ambaye naweza kusema tulipendana sana katika historia ya mahusiano yangu!
Mwanzoni mwa Mwezi June in one day binti alikuja na Excuse hataki uhusiano wa kimapenzi tena!
ilifadhaisha sana na sikuweza kuamini ukizingatia tumekaa kama mwaka mmoja na miezi mi tatu pamoja, nikamuuliza sababu ni nini?
Binti akasema amechoka kumkosea Mungu (Uasherati), nafsi inamsuta kudanganya wazazi wake ili aje tu gheto kwangu.. Nikambembeleza sana ila akashikilia msimamo, ANATAKA KUTENGENEZA MAISHA YAKE KWANZA.
WanaJF Huyu Mwanamke Nilimpenda sana na sikuwahi tarajia kama kungekuwa na kuachana ukizingatia niliplan kumuoa awe mama watoto..
Katika kumsihi akaclaim kwamba MAYBE IF WE WERE MEENT TO BE.. Tutakutana tena..iliniuma na nikarun out of CONTROL, But Now Nimekaa sawaa NAMSHUKURU MUNGU!
Shida ikaja hapa, Binti Juzi alikuja kuniwish BirthDay.. Nikashangaa the way alivyokuja hisia zangu za Kimapenzi zikarudi tenaa...HUYU BINTI NAMPENDA..!
WanaJF Nipeni Advice.. Huyu Binti Namrudishaje Kuwa Wangu? au Nikubali Tu Matokeo ya kuachana?
Asantee saana Boss!Wadada wengi wanaotaraji kuolewa (wale werevu) hawawezi kukaa na mwanamme mzinifu kwa muda mrefu, itakuwa alikuona huna mwelekeo wa kutoa posa akaone akupima kama upo serious; na kama haupo serious akajaribu kutafuta hiyo fursa mahali pengine
Kama unataka kuoa wewe katoe posa mtoto anakupenda huyo ila kama haja yako ni kukidhi haja ya mwili humpati...atachukua hiyo fursa mahali pengine!
Ni binti Ambaye naweza kusema tulipendana sana katika historia ya mahusiano yangu!
Mwanzoni mwa Mwezi June in one day binti alikuja na Excuse hataki uhusiano wa kimapenzi tena!
ilifadhaisha sana na sikuweza kuamini ukizingatia tumekaa kama mwaka mmoja na miezi mi tatu pamoja, nikamuuliza sababu ni nini?
Binti akasema amechoka kumkosea Mungu (Uasherati), nafsi inamsuta kudanganya wazazi wake ili aje tu gheto kwangu.. Nikambembeleza sana ila akashikilia msimamo, ANATAKA KUTENGENEZA MAISHA YAKE KWANZA.
WanaJF Huyu Mwanamke Nilimpenda sana na sikuwahi tarajia kama kungekuwa na kuachana ukizingatia niliplan kumuoa awe mama watoto..
Katika kumsihi akaclaim kwamba MAYBE IF WE WERE MEENT TO BE.. Tutakutana tena..iliniuma na nikarun out of CONTROL, But Now Nimekaa sawaa NAMSHUKURU MUNGU!
Shida ikaja hapa, Binti Juzi alikuja kuniwish BirthDay.. Nikashangaa the way alivyokuja hisia zangu za Kimapenzi zikarudi tenaa...HUYU BINTI NAMPENDA..!
WanaJF Nipeni Advice.. Huyu Binti Namrudishaje Kuwa Wangu? au Nikubali Tu Matokeo ya kuachana?
Jaribu kwanzaStep Ngumu sana Hii.. kwa wazazi wa siku hizi watataka muoaji wa Haraka
Mkuu Naomba Ingiaa Deep Kidogo!.. una Jambo Zuri la Kunifunza!first of all kwanza si kweli kwmba roho inamsuta kudanganya wazazi wake wala nini we sema hukumchunguza ila anaweza akawa hakutaki au anachepuka na amekutaftia sababu na hajapata thats y akakwambia hivo...cha msingi kaza usikubali kuwa dhaifu hivo there are so many beautiful girls than her just tembea uone dont be kipofu mwache aende and if mnawasiliana usiongee nae mambo ya uhusiano just stor za kawaida
Mkuu Naomba Ingiaa Deep Kidogo!.. una Jambo Zuri la Kunifunza!
wanawake huwa wanavisa sana !! unajua uhusiano ukiwa unaanza mnakuwa katika hali nzuri sana chatting the whole day but kuchokana kukija ndo vitu vya ajabu unaviona kwa uliekuwa unampenda!! mfano partner wako hakautxt kama zaman kila saa yuko bize tu for nothing then unamuuliza "mama whats wrong sijakuzoea hivo " anakwambia nishakuwa mtu mzima muda wa kuchati sina yani anakaa had sa saba mchana na yuko online hakutxt really while mwanzo alikuwa akishtuka tu wa kwanza ku mtext ni wewe but now anakwmbia eti nimekua ??? there is something that keep her busy had anakusahauMkuu Naomba Ingiaa Deep Kidogo!.. una Jambo Zuri la Kunifunza!
Kwa ID ipi [emoji47] [emoji47]Im not New Member Boss.. Mwaka Wa 5 Huu JF