Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
hivi huyu ni Asprin?Sasa babuu unampenda si uoe,au huna ajira,.?!
hivi huyu ni Asprin?Sasa babuu unampenda si uoe,au huna ajira,.?!
Hapana Daby,.huyu ni paracetamol[emoji6]hivi huyu ni Asprin?
Hata mi nmehisi ivyoUsije kufananisha na Archduke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyege hizo
That's way she comments except for the insult, I hope you are not new. I mean you, not the ID registration. Welcome.Akili umeziweka mfukoni?[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
acha kibri hili ndio jibuau Nikubali Tu Matokeo ya kuachana?
shemej jana nimekuuliza swali langu hujanijibu leo naona unakuja kunichimba hapa hahahaHata mi nmehisi ivyo
Mtoa mada sio ww? Nauliza tushemej jana nimekuuliza swali langu hujanijibu leo naona unakuja kunichimba hapa hahaha
shahidi my babe
uzuri unanijua vizuri kama huyo mwanamke aliyeongelewa hapo ni wewe OK basi ni mimiMtoa mada sio ww? Nauliza tu
Hahahaaaaa ndio mana nakupendauzuri unanijua vizuri kama huyo mwanamke aliyeongelewa hapo ni wewe OK basi ni mimi
Sasa si ulipe mahari umuoe! Unataka kumzini tu mpaka lini?Ni binti Ambaye naweza kusema tulipendana sana katika historia ya mahusiano yangu!
Mwanzoni mwa Mwezi June in one day binti alikuja na Excuse hataki uhusiano wa kimapenzi tena!
ilifadhaisha sana na sikuweza kuamini ukizingatia tumekaa kama mwaka mmoja na miezi mi tatu pamoja, nikamuuliza sababu ni nini?
Binti akasema amechoka kumkosea Mungu (Uasherati), nafsi inamsuta kudanganya wazazi wake ili aje tu gheto kwangu.. Nikambembeleza sana ila akashikilia msimamo, ANATAKA KUTENGENEZA MAISHA YAKE KWANZA.
WanaJF Huyu Mwanamke Nilimpenda sana na sikuwahi tarajia kama kungekuwa na kuachana ukizingatia niliplan kumuoa awe mama watoto..
Katika kumsihi akaclaim kwamba MAYBE IF WE WERE MEENT TO BE.. Tutakutana tena..iliniuma na nikarun out of CONTROL, But Now Nimekaa sawaa NAMSHUKURU MUNGU!
Shida ikaja hapa, Binti Juzi alikuja kuniwish BirthDay.. Nikashangaa the way alivyokuja hisia zangu za Kimapenzi zikarudi tenaa...HUYU BINTI NAMPENDA..!
WanaJF Nipeni Advice.. Huyu Binti Namrudishaje Kuwa Wangu? au Nikubali Tu Matokeo ya kuachana?
ngoja nifikirie jina jipya mie hizi kesi za hivi sizitakiHahahaaaaa ndio mana nakupenda
Ukimaliza niambie umeambiwa na nani ubadili ikibidi uhamie hukongoja nifikirie jina jipya mie hizi kesi za hivi sizitaki
hajanambia mtu sitaki tu hizi kesi tahadhari kabla ya hatari you know babeUkimaliza niambie umeambiwa na nani ubadili ikibidi uhamie huko
Me sjaridhia honeyhajanambia mtu sitaki tu hizi kesi tahadhari kabla ya hatari you know babe