Wataalamu Nishaurini hapa Kunani?

Wataalamu Nishaurini hapa Kunani?

Nyoooooooo!wewe nae ni mwanaume? Yaani unataka uendelee kumkunjaaaa unambilingita unavyotaka bila ndoa? Hatimae uje umpe mimba umfanye single maza? Naninaaa.... Mwaka mzima umemkodi kwa sh. Ngapi?? Nfyuuuuuuuuuu!
Akili umeziweka mfukoni?[emoji23][emoji23]
 
Huyo kapata mwanaume mwingine, learn to live your life and move on. Mwezi mmoja siyo mingi, muda ukipita utamsahau tu.
Umeongea Kitu kizuri sana[emoji120][emoji120]
 
Why boss??

Ameshaweka wazi, sio kwamba hakupendi. Hataki kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa. Very simple, kama hautaki ndoa hamna namna mtaendana.

Na una bahati sana amekua mstaarabu. Kwani wewe unataka uoe mwanamke wa aina gani?
 
Kama hana mwanaume mwingine, kopa hela katoe posa fasta..

Pia hiyo inaweza ikawa no gia ya kukuacha ili akakunjwe na mwingine..

Hao viumbe hawaaminiki na kueleweka...
 
Nimejaribu kuchunguza kupitia Marafiki zake inaonekana HANA
usimuache pengine anakijaribu ajue kama unampenda kweli.
nimejaribu kuvaa kiatu chake nimeona:
kikubwa ana hofu ya kutumiwa weee na kuachwa miaka kadhaa ijayo na hajui atakae ishi nae ndyo mana kachkukua uamzi sahihi sana
 
Ameshaweka wazi, sio kwamba hakupendi. Hataki kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa. Very simple, kama hautaki ndoa hamna namna mtaendana.

Na una bahati sana amekua mstaarabu. Kwani wewe unataka uoe mwanamke wa aina gani?
Honestly.. Nilishindwa ata kuipinga Hoja yake.. Hata mimi ningependa Binti Yangu awe ivi
 
Back
Top Bottom