Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,212
- 16,915
kwangu hiyo ni amri ok nimekuelewa my loveMe sjaridhia honey
kwangu hiyo ni amri ok nimekuelewa my loveMe sjaridhia honey
Thats my babelove, nakupenda na mengikwangu hiyo ni amri ok nimekuelewa my love
nakupenda zaidi my........ 😉😉Thats my babelove, nakupenda na mengi
Kuna kitu mekumbuka nacheka hapa unakumbuka zle vurugu mekwambianakupenda zaidi my........ 😉😉
yeah nakumbuka bebKuna kitu mekumbuka nacheka hapa unakumbuka zle vurugu mekwambia
Ndio hizi unaona hapa hahahahhaa sio poa honeyyeah nakumbuka beb
ushanivuruga hapaNdio hizi unaona hapa hahahahhaa sio poa honey
Huyo mie??? Na nn tena jamaniushanivuruga hapa
ni stori ipi sasa za pm au za yule mwanamke aliyerudi saa hizi?Huyo mie??? Na nn tena jamani
Umesema mekuvuruga mm nauliza na nn nikuvuruge kivuruge mie?? Hiv umenotisi kitu kwangu???ni stori ipi sasa za pm au za yule mwanamke aliyerudi saa hizi?
nikuambie hapahapa?Umesema mekuvuruga mm nauliza na nn nikuvuruge kivuruge mie?? Hiv umenotisi kitu kwangu???
Nambie tunikuambie hapahapa?
nimeona furaha yako imerudi tena hujazila kama mwanzo since yule mwanamke alivyorudiNambie tu
Hahahahhahahaa you are my soulmate and my betterhalf umepatia niko kawaida now vile umenizoeanimeona furaha yako imerudi tena hujazila kama mwanzo since yule mwanamke alivyorudi
ubavu wangu haukwenda bure atiiHahahahhahahaa you are my soulmate and my betterhalf umepatia niko kawaida now vile umenizoea
Oya Daby Kama uko na Akili Yangu Vile.. Hili Songi Naliimba sana[emoji23][emoji23]karibu tuimbe haka kawimbo... Karibia wanawaume wote kuna mpenzi huwa anachukuliwa mapema anamwacha.
huyo nawe ndiyo wako.
[emoji444] [emoji444] [emoji444]
Helloo hapo vipi sijui unaskia!
helloo nna maneno natamani kukwambia.
helloooow tafadhali usije nikatiaaa
heloooow... ona mpaka nasahau kusalimia.
habari gani leo nimekukumbukaa saana
na mama yaani twakuuwazaaga.