Wataalamu Nishaurini hapa Kunani?

Wataalamu Nishaurini hapa Kunani?

Acha maneno mengi mkurugenzi. Kama unakapenda peleka posa, vinginevyo tafuta anaekidhi vigezo vyako. Mbali na hapo unataka kumfuja binti wa watu tu.
Boss ndo namaliza chuo kuoa Bado
 
Ni binti Ambaye naweza kusema tulipendana sana katika historia ya mahusiano yangu!
Mwanzoni mwa Mwezi June in one day binti alikuja na Excuse hataki uhusiano wa kimapenzi tena!

ilifadhaisha sana na sikuweza kuamini ukizingatia tumekaa kama mwaka mmoja na miezi mi tatu pamoja, nikamuuliza sababu ni nini?

Binti akasema amechoka kumkosea Mungu (Uasherati), nafsi inamsuta kudanganya wazazi wake ili aje tu gheto kwangu.. Nikambembeleza sana ila akashikilia msimamo, ANATAKA KUTENGENEZA MAISHA YAKE KWANZA.

WanaJF Huyu Mwanamke Nilimpenda sana na sikuwahi tarajia kama kungekuwa na kuachana ukizingatia niliplan kumuoa awe mama watoto..

Katika kumsihi akaclaim kwamba MAYBE IF WE WERE MEENT TO BE.. Tutakutana tena..iliniuma na nikarun out of CONTROL, But Now Nimekaa sawaa NAMSHUKURU MUNGU!

Shida ikaja hapa, Binti Juzi alikuja kuniwish BirthDay.. Nikashangaa the way alivyokuja hisia zangu za Kimapenzi zikarudi tenaa...HUYU BINTI NAMPENDA..!

WanaJF Nipeni Advice.. Huyu Binti Namrudishaje Kuwa Wangu? au Nikubali Tu Matokeo ya kuachana?
Kajitambulishe kwao lazima atakukubal tu
 
Boss ndo namaliza chuo kuoa Bado

Nenda kwao jitambulishe kama mchumba.
Ila huyo binti anajitambua sana. Anakwambia kama ni wako, mtaoana tu.
Pia ana chembechembe za uadilifu na maadili, bidhaa adimu sana kwa sasa.
 
pole mkuu, tuliza papara,, vp lakini uchumi wako uko poa zaidi ya zamani? huenda kaona umepga hatua una kausafiri ka miguu 4,

umezunguka kaona vyuma vimeumana! anaamua kujirudi kwa style hiyo,

vp kwa sasa huna kifuta jasho hapo home,, namaanisha huna unayekwangaruka naye kwa sasa,,,
 
Nenda kwao jitambulishe kama mchumba.
Ila huyo binti anajitambua sana. Anakwambia kama ni wako, mtaoana tu.
Pia ana chembechembe za uadilifu na maadili, bidhaa adimu sana kwa sasa.
Vibaya Mno.. Hata mimi Nakubali..Nakuwaga Mkorofi ila Mwanamke yule alinituliza..
 
Ndio boss
Sasa kama bado una safari ndefu katika kujipanga,.kwann unapata presha??..kuna muda hata kama unampenda mtu kiasi cha kugusa mawingu huna budi kumpa nafasi/kumuacha aende...umesema uko kwa school,at least ungewa umemalizana na kitabu ningekuambia hebu kusanya nguvu hapa na pale OA,.lakini kwa situation yako soma mdoangu kama ni wako atazunguuuuka kama pia lakini atarudi,...lemme end here kwa leo,.and remember "future yako iko mikononi mwako" ukiongozwa na Mwenyezi Mungu.
 
Bebee anataka ndoa huyo mkuu,na kama ndio upo chuo hujajipanga,hakuna haja ya kurush!

Jipange kwanza mkuu,tusije tukakusaidia Mkuu!
 
Amina saana Dada Mumu na iwe Hivo!
 
Bebee anataka ndoa huyo mkuu,na kama ndio upo chuo hujajipanga,hakuna haja ya kurush!

Jipange kwanza mkuu,tusije tukakusaidia Mkuu!
Sawaa sawaa Ahsantee Boss..
 
Back
Top Bottom