Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,827
- 55,627
Vuta subira
Kama hayako sawa.. kuwa mpiga chabo tu.Je kama hayako sawa?
karibuKwelii Kabisaa Asantee saana!
MmmhKama hayako sawa.. kuwa mpiga chabo tu.
Hahahah haukupikwa supu eh honey, nakupendaubavu wangu haukwenda bure atii
Daahwanawake huwa wanavisa sana !! unajua uhusiano ukiwa unaanza mnakuwa katika hali nzuri sana chatting the whole day but kuchokana kukija ndo vitu vya ajabu unaviona kwa uliekuwa unampenda!! mfano partner wako hakautxt kama zaman kila saa yuko bize tu for nothing then unamuuliza "mama whats wrong sijakuzoea hivo " anakwambia nishakuwa mtu mzima muda wa kuchati sina yani anakaa had sa saba mchana na yuko online hakutxt really while mwanzo alikuwa akishtuka tu wa kwanza ku mtext ni wewe but now anakwmbia eti nimekua ??? there is something that keep her busy had anakusahau
back to topic
wa kwako pia kuna kitu kabisa kwa huyo mwanamke wako but i swear according to my experience si bure wala sio kwmba anakupimia mchunguze vizuri kuna asilimia nyingi that she is no longer feel sth in you and anataka kuwa alone ili afanye yake au tayari ana mtu .... ningekwambia utafute mwingne but naelewa maana ya ku fall kwa mtu fanya mbembeleza kiasi mweleze jinsi gani unampenda na hauko tayari mpoteza then kama anakupenda pia mwambie sex sio kitu ni sawa pia akikunyima we kubali mashart yake kama kweli roho inamsuta then mtakuwa pamoja but no sex kama ni uongo sio roho inamsuta kama asemavyo atakataa ..then cha kufanya mpe muda ila usisahau mjulia hali kila pakipambazuka na jua likizama for somedays wakati huo just keep your self busy somewhere usimsumbue kabisa mwache ajitafakari mwenyewe fanya hvyo kwa siku kadhaa even 3weeks then anza punguza mawasiliano kidogo then muangalie anakuwaje !
[emoji23][emoji23][emoji23]Kakuchoka na mambo yako yaleyale kila siku,nahisi kajiuliza hujamuoa kila siku ñgojera zilezile,kitanda kilekile,style zilezile pesa nayo huna,ameamua tu kuangalia ustarabu mwingine,Nakushauri tafuta pesa usiku na mchana ukizipata atarudi
wanawake huwa wanavisa sana !! unajua uhusiano ukiwa unaanza mnakuwa katika hali nzuri sana chatting the whole day but kuchokana kukija ndo vitu vya ajabu unaviona kwa uliekuwa unampenda!! mfano partner wako hakautxt kama zaman kila saa yuko bize tu for nothing then unamuuliza "mama whats wrong sijakuzoea hivo " anakwambia nishakuwa mtu mzima muda wa kuchati sina yani anakaa had sa saba mchana na yuko online hakutxt really while mwanzo alikuwa akishtuka tu wa kwanza ku mtext ni wewe but now anakwmbia eti nimekua ??? there is something that keep her busy had anakusahau
@Madame S nitakukumbusha
nakupenda zaidiHahahah haukupikwa supu eh honey, nakupenda
Naona tunashindana babenakupenda zaidi
me ni zaidiNaona tunashindana babe
Umenishinda babe wangume ni zaidi