Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Habari za Harakat za Maisha Wana forum.

Mimi ni kijana Nina miaka 32.
Nimeugua UTI mara moja last year mwezi nov, baada ya kutumia mlango wa nyuma....
Nikaenda hospital nikapewa flucamox na metronidazole siku tano nikapona.

3 months ago nimekutana tena na demu yuleyule, nikapiga kawaida Tu bila mpira..... Nikaikasirisha mizimu....

Nikajua ni Ile UTI tena imerudi, nimekunywa flucamox mara 2, bila nafuu....
Nikaenda zahanati nimepewa Augmentin cluvamate nikapata nafuu kidogo tatizo bado linarud....

Nikaenda hospital agakhan kigamboni, wakanambia kwenywe vipimo mkojo uko Sawa Ila Kwa maumivu ya pumbu na uume pia kutoa semen yenye maji mepesi ya maziwa ni STD ambayo ni gono...

Nikapewa Ceftriaxone injection 1g
Doxycycline 2/siku 10
Metronidazole 400mg/siku 10
Nikapata nafuu kipindi natumia dawa siku ya kumi Tu maumivi makali Sana kwenywe uume na chini ya kitovu, mkojo hauumi nikikojoa.... Usaha mara moja sana Hadi mwishon mkojo nikojoa ndio naweza uona. Nikipekenywe urethra naona kama vidonda ivi au ulcers....
Napata maumivu makali Sana nikaa au nikilala...

Nimetumia antibiotics for 3 consecutive months Hadi mdomoni nimepata candida..
Nikajua hapa basi nishaukwaa...

Nimeenda kupima hiv imetoka -ve, Dr kanambia kama nilimnyonya mate na yeye alinyonya uume basi ndio nimepata fangus mdomoni... Sometimes nameza Kwa shida Sana....

Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..

Nimepewa Lomefloxacin 400mg siku 14, Alfuzosin siku 14 na aceclofenac...
Problem ni Kua hizi dawa zinanizingua Sana.

Nikaenda hospital tena Jana kisiwani kufanya kipimo cha HIV na damu, HIV sina ni negtv, Ila kwenywe damu Dr kasema bado kuna STD... Pia fungus mdomoni...
Kaniandikia
Cefixime 400mg PO 1*1/5
Ceftriaxone 2g injection
Azitromycin 1g PO stat
Fluconazole 150mg/10 days Kwa ajili ya fungus

Leo nipo siku ya pili naendelea na dozi, (dawa za prostatitis nimeziacha Kwanza nimalize gono)

Swali
1. je nikawaida Kwa gono kutoka usaha WA maziwa mepesi mara moja moja na pia kwenywe semen Kua na kama maji maji ya maziwa.

2. Ni kawaida kuwa na maumivu makali ukikaa au kulala ukiwa na gono,
Prolonged use of antibiotics inaweza kukupelekea ukawa prune to fungal attacks
 
Ni kweli, Ila treatment nilifanya makosa mwanzo Kwa kuto kuwaona urology specialist mapema, so awa ma GP wao Wana treat clinical picture. Ndio maana unaona dawa kila Aina apo.
But for Chronic Bacterial Prostatitis ambayo ndio currently diagnosed kwangu ni very tricky treatment zake. Dawa ni;
Quinolones pamoja na macrolides dosage yake inategemea response na relapses, lakin ni from 4 to 12 weeks na ikishindikana bado unatakiwa kufanya suppressive low dosage of antibiotics.
 
Habari za Harakat za Maisha Wana forum.

Mimi ni kijana Nina miaka 32.
Nimeugua UTI mara moja last year mwezi nov, baada ya kutumia mlango wa nyuma....
Nikaenda hospital nikapewa flucamox na metronidazole siku tano nikapona.

3 months ago nimekutana tena na demu yuleyule, nikapiga kawaida Tu bila mpira..... Nikaikasirisha mizimu....

Nikajua ni Ile UTI tena imerudi, nimekunywa flucamox mara 2, bila nafuu....
Nikaenda zahanati nimepewa Augmentin cluvamate nikapata nafuu kidogo tatizo bado linarud....

Nikaenda hospital agakhan kigamboni, wakanambia kwenywe vipimo mkojo uko Sawa Ila Kwa maumivu ya pumbu na uume pia kutoa semen yenye maji mepesi ya maziwa ni STD ambayo ni gono...

Nikapewa Ceftriaxone injection 1g
Doxycycline 2/siku 10
Metronidazole 400mg/siku 10
Nikapata nafuu kipindi natumia dawa siku ya kumi Tu maumivi makali Sana kwenywe uume na chini ya kitovu, mkojo hauumi nikikojoa.... Usaha mara moja sana Hadi mwishon mkojo nikojoa ndio naweza uona. Nikipekenywe urethra naona kama vidonda ivi au ulcers....
Napata maumivu makali Sana nikaa au nikilala...

Nimetumia antibiotics for 3 consecutive months Hadi mdomoni nimepata candida..
Nikajua hapa basi nishaukwaa...

Nimeenda kupima hiv imetoka -ve, Dr kanambia kama nilimnyonya mate na yeye alinyonya uume basi ndio nimepata fangus mdomoni... Sometimes nameza Kwa shida Sana....

Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..

Nimepewa Lomefloxacin 400mg siku 14, Alfuzosin siku 14 na aceclofenac...
Problem ni Kua hizi dawa zinanizingua Sana.

Nikaenda hospital tena Jana kisiwani kufanya kipimo cha HIV na damu, HIV sina ni negtv, Ila kwenywe damu Dr kasema bado kuna STD... Pia fungus mdomoni...
Kaniandikia
Cefixime 400mg PO 1*1/5
Ceftriaxone 2g injection
Azitromycin 1g PO stat
Fluconazole 150mg/10 days Kwa ajili ya fungus

Leo nipo siku ya pili naendelea na dozi, (dawa za prostatitis nimeziacha Kwanza nimalize gono)

Swali
1. je nikawaida Kwa gono kutoka usaha WA maziwa mepesi mara moja moja na pia kwenywe semen Kua na kama maji maji ya maziwa.

2. Ni kawaida kuwa na maumivu makali ukikaa au kulala ukiwa na gono,
Msaada wangu kwako ni kwamba nenda kaonane na Mganga muhusika
 
Na ukiendelea itabidi upewe na dozi za
Cumiflopaixon
Zabtroxinosozisis
Matroluvtrozenovin
Nixopaqruvunin
Mpakatrocuminmisis
Ukometrobululelencence
Acha kutuzingua, hivi umetuonaje kwanza, ila nimecheka. eti Ukometrobululelencencence, fala kweli!
 
5th week on antibiotics treatment naona kuna improvement kubwa japo kuna siku unaweza kuwa vibaya...

Dawa sahihi zipo Kwa kila ugonjwa shida MTU unaumwa unapewa dawa ambazo sizo zinapelekea bacteria kuwa sugu, janga nalo hili.

Ushauri; Kwa mwanaume kama utaona unakunywa antibiotics za kila Aina na hupati matokeo... Tafadhali nenda haraka kamwone dactari specialist WA urology akufanyie checkup then upate matibabu...
Gharama ipoje mkuu
 
Mkuu umeshapona 100%? Ulitumia dawa gani unielekeze pia? Au hivyo vipimo hugharimu kiasi gani? Nijibu tafadhali
 
Kwa asilimia kubwa nimepona, Ila kuna maumivu Fulani ivi yanakuepo tofauti na mara ya Kwanza, ni kama unakidnda afu unakitonesha kind of maumivu,
Pia hii chronic prostatitis huathir phycology so sometimes unakuta unajihis huko Sawa Iakin ukipima unakuta hamna kitu.
But kila muda unavoenda Nazid kuwa poa.
 
Dawa zipi zilifanya kazi after several attempts mkuu?
 
First line Fluoroquinolones
Second line Tetracyclines
Third line Macrolides
Mim nimetumia 1st na 2nd line Hali iko poa, kama Hali ikiwa mbaya utapewa 3rd line
Ila dawa izo Fluoroquinolones zinazngua Sana after 3 months dosage.
 
Chakula hamli kizuri, ngono zembe mnazipenda, madawa mnakunywa kunywa tu hovyo utadhani kuku wa kisasa halafu mnategemea kuwa na afya imara.
 
Back
Top Bottom