computer na tablets havina kodi, ila vitu vyengine utalipia kodi vat 18% PLUS KUNA IMPORT DUTY 5% na kuna ushuru mwengine nimeusahau, na hizo kodi zote utalipia unapopokea mzigo, iwe irport au posta inategemea umetumia sipping gani... ila pia kuna mizigo inayokuja posta kwa njia ya register mail hiyo hautalipia hata centi 1 yaani hata handover fee hautalipa. god bless Tanzania Postal kwa kutujali na ndio njia pekee ambyo hautapigiwa simu ukkambiwa uende airport ukalipie mzigo wako na ni nji peke ambayo hakuna agent atakaekulipisha kwa ajili ya kukufanyia clearance.Wadau natamani kufanya online shopping kupitia mtandao wa ebay, nishapata CRDB visa Card, nimesharegister paypal, swali langu ni kuhusu kodi, je kwa mfano nikiorder kitu ka saa ya dola 50 hivi ntalipia kodi kiasi gani, na ninalipia kodi wakati gani? wakati nalipia shipping fees au wakati napokea mzigo bongo, na kweli mizigo midogo midogo ka saa hiyo nayo inalipiwa kodi.?? Maana kuna watu niliowai sikia wakiagiza mizigo midogo ka saa, viatu, wallets hakuna malipo mengine zaidi ya bei ya mzigo na shipping fee.
Kwa kweli ka kuna mtu exactly aliwai kununua kitu ebay naomba ashare information na experience
computer na tablets havina kodi, ila vitu vyengine utalipia kodi vat 18% PLUS KUNA IMPORT DUTY 5% na kuna ushuru mwengine nimeusahau, na hizo kodi zote utalipia unapopokea mzigo, iwe irport au posta inategemea umetumia sipping gani... ila pia kuna mizigo inayokuja posta kwa njia ya register mail hiyo hautalipia hata centi 1 yaani hata handover fee hautalipa. god bless Tanzania Postal kwa kutujali na ndio njia pekee ambyo hautapigiwa simu ukkambiwa uende airport ukalipie mzigo wako na ni nji peke ambayo hakuna agent atakaekulipisha kwa ajili ya kukufanyia clearance.

Kuwa makini na Wanaigeria "wapopo" account yako usiweke dola nyingi.
huyo amekupa wrong info mimi nilitumia UPS kutoka japan to Tanzania simu 1 tu na nililipa ushuru tsh 176,000+ UPS tanzania niliwalipa clearence fee tsh 94,000mi nilimuuliza jamaa wa ushuru bandarini kanambia kama unaagiza kitu kimoja kama simu au tablet hulipii kodi ila kama unaagiza kwa biashara lets say simu 20 ndo utalipa kodi, so kwa dola 50 i think hakuna kodi
inategemea mzigo unatoka nchi gani, kama marekani register mail inatambulikana kama USPS first class air mail, kama hong kong ni hong kong international registered air mail na china ni china post air mail. zipo nyingi ila muuzaji mwambie tu ni registered air mail ila inachukuwa 18-46 days kufika bongo.Hiyo register mail mimi ndo nitamwambia muuzaji anitumie kwa njia hio au yeye ndo anaamua.
Na je nitapataje hio register mail?
Hata mie nasubiri majibu kuhusu hizi kodi maana naona kuna uficho na kiza kikubwa. Labda nikiri kua kuna parcels zangu ndogo ambazo zinafikaga kwene box langu bila ya kulipishwa chochote. Sijui ni criterion gani inatumikaga au wakiona mzigo umetuna basi wanaanza kusikia kiu ya kuukata kodi.Wadau natamani kufanya online shopping kupitia mtandao wa ebay, nishapata CRDB visa Card, nimesharegister paypal, swali langu ni kuhusu kodi, je kwa mfano nikiorder kitu ka saa ya dola 50 hivi ntalipia kodi kiasi gani, na ninalipia kodi wakati gani? wakati nalipia shipping fees au wakati napokea mzigo bongo, na kweli mizigo midogo midogo ka saa hiyo nayo inalipiwa kodi.?? Maana kuna watu niliowai sikia wakiagiza mizigo midogo ka saa, viatu, wallets hakuna malipo mengine zaidi ya bei ya mzigo na shipping fee.
Kwa kweli ka kuna mtu exactly aliwai kununua kitu ebay naomba ashare information na experience
Duh, pole sana fellow traveller..Tz ni nchi ya ajabu sana/huyo amekupa wrong info mimi nilitumia UPS kutoka japan to Tanzania simu 1 tu na nililipa ushuru tsh 176,000+ UPS tanzania niliwalipa clearence fee tsh 94,000
computer na tablets havina kodi, ila vitu vyengine utalipia kodi vat 18% PLUS KUNA IMPORT DUTY 5% na kuna ushuru mwengine nimeusahau, na hizo kodi zote utalipia unapopokea mzigo, iwe irport au posta inategemea umetumia sipping gani... ila pia kuna mizigo inayokuja posta kwa njia ya register mail hiyo hautalipia hata centi 1 yaani hata handover fee hautalipa. god bless Tanzania Postal kwa kutujali na ndio njia pekee ambyo hautapigiwa simu ukkambiwa uende airport ukalipie mzigo wako na ni nji peke ambayo hakuna agent atakaekulipisha kwa ajili ya kukufanyia clearance.
mi nilimuuliza jamaa wa ushuru bandarini kanambia kama unaagiza kitu kimoja kama simu au tablet hulipii kodi ila kama unaagiza kwa biashara lets say simu 20 ndo utalipa kodi, so kwa dola 50 i think hakuna kodi