Gsana JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 4,383 Reaction score 1,340 Mar 29, 2011 Thread starter #21 inakaria na ukweli mkuu! ila sibling si tafsiri ya neno "mtoto"
Gsana JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 4,383 Reaction score 1,340 Mar 29, 2011 Thread starter #22 mkuu sikumbuki kama ulishawahi kutofautiana na ID yako, mbona unashindana ili kuonesha kuwa ID kwewli ni yako. Nipe msaada bwn mkubwa.
mkuu sikumbuki kama ulishawahi kutofautiana na ID yako, mbona unashindana ili kuonesha kuwa ID kwewli ni yako. Nipe msaada bwn mkubwa.
P Pumba Mwiko Member Joined Mar 16, 2011 Posts 71 Reaction score 8 Mar 29, 2011 #23 Mkubwa kingelesa kazi!waambie watt wasirudie tena kuuliza maswali ya hvy bongo.