feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,010
- 18,658
Habari ya wakati huu
Nikiwa na akili zangu timamu miezi michache ijayo natimiza miaka 30 tangu nilipoletwa duniani na wazazi wangu.
Katika ukuaji wangu wote tangu nimezaliwa mpaka umri huu sijawahi kuona ndugu yangu yeyote akiwa amejiunga na CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) wala kufanya kazi ya kijeshi hususani JESHI LA POLISI.
Babu yenu (Baba yangu) alikua mkali sana kwa sisi watoto wake akutaka kabisa tujihusishe na uzalimu na unafki hasa inapokuja suala la CCM ,POLISI na Ushabiki wa SIMBA NA YANGA. Ilikua ngumu kumuelewa lakini nilipokuja kukua sasa ninaelewa mzee wangu ni yake njema ya kunitoa kwenye unafki wa kuwa mfuasi wa unafki,mauaji,dhulma na kila aina ya roho mbaya.
Mpaka sasa familia yetu hakuna mtu ambaye ni CCM wala POLISI ila tumebaki kwenye Mpira wa Simba na Yanga japo pia hakuna Shabiki wa Yanga.
Mzee wetu alikua na maana kubwa kutuzuia kua makada wa CCM na kufanya kazi za kipolisi kwani alikua anatuepusha na dhulma,mauaji,udanganyifu ,roho mbaya na kila aina ya baya,hili ni moja ya jambo nitamshukuru sana mzee wangu mpaka naingia kaburini.
Nami kama alivyonihusia baba yangu ,nawahusia watoto wangu asitokee mtoto wangu yeyote akawa kada wa CCM wala kufanya kazi idara ya Jeshi ya POLISI, pia ikiwezekana kaa mbali na Simba na Yanga kwani ukifuata vitu hivyo unakua katika wakati wa maangamizo.
Unafki, uongo, unyang'anyi, dhulma na kila baya ndo itakua sehemu yako ya maisha... Mimi baba yenu nasema kwa yoyote atakayefuata hayo ninayosema basi hatakua pamoja nami katika lolote litakalo mkuta wala sitashika mali yake au chochote kutoka kwake.
Asante